Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wakuu salaam. Je kuna tofauti gani kati ya maana ya maneno *pwani, *mwambao na *ufuko?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenzangu nikueleze, naomba sikio tega, Fanya nenda ukacheze, pale unapo chezaga, Tena muda sipoteze, ondoka pasi kuaga, Chungu hutaki kupwaga, vipi moto uchokoze? Nakuona uko bize, kama wataka...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwagona !! hii Lugha asili yake wapi? ni kbantu kweli? Tofauti kati ya kuoga na kunawa ni nini?
0 Reactions
44 Replies
13K Views
Mtu mzima ni dawa, hutibu kwa njia gani? Nauliza mnojuwa, nipate toka shakani, Maradhi nikizidiwa, nimebwagwa kitandani, Atibu nipate powa, nisibaki taabani, Sipitali twafatani, ka' mtu mzima...
3 Reactions
0 Replies
876 Views
habari zenu wapendwa wa jukwaa la lugha: naendelea na kazi ya ufasiri kiswahili kwenda kiingereza... leo imebidi nifasiri "kiti cha marimba." je, "wooden chair" inatosha? au kiti cha marimba kina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia hili neno 'mfaraka' lkn silijui kwa undani nisaidieni members mwenye uelewa zaidi.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
KWELI SISI NI TWIGA. 1)ni sa sita usiku,balaa litapozuka. Tukichinjwa kama kuku,na wenyewe tukicheka. Na vichwani twa viduku,na bongo za tetemeka. Hivi kweli sisi twiga,ama tunaiga iga...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Sidhani Kama Tunamaanisha Tunachosema tunapoutumia huu usemi ni tafakuri tu lakini
0 Reactions
0 Replies
679 Views
vijana wa cku hizi utasikia mambo yao ya mchelemchele...hv nini hasa maana ya hili neno mambo ya mchelemchele?
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Nawajulisha bungeni, na ninyi wa humu ndani Kinyag'nyiro nchini, na mimi nimo kwa ndani Ninazunguka nchini, mijini na vijijini Na mimi nimo kwa ndani, kinyang'anyiro nchini Na mimi nimo njiani...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Naomba nisaidiwe kubadilisha hii sentensi kwa lugha ya Kiingereza. Nashukuru sana.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Kwajwa: Kwaja ujio wa haja, mno uliongojewa Ulosemwa ni kangaja, wasiwasi ulozuwa Mngoji sechoka ngoja, na mikono kunyanyuwa Kutwa nilitarajia, sena hakika yatawa...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Kiswahili lugha yangu,Tanzania nchi yangu nayoipenda.Ninajivuni kujifunza misamiati mipya .KARIBUNI WANAJF TUJIVUNIE LUGHA YETU.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1 Mama mama, sorole nyumbu nyama yetu. Mwanangu siye nyumbu siye, Nyumbu mkia wa singa, mrefu kama farasi, Hatembei kwa kuringa, haruki kibelewasi, Ya’ni si kama kinyonga, huenda kwa mwendo kasi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watumiaji wengi wa Kiswahili, nyakati fulani wanatumia maneno ya Kiingereza mahali ambapo wangetumia neno la Kiswahili wakidhani kwamba hakuna neno la Kiswahili ambalo linaweza kuchukua nafasi ya...
3 Reactions
13 Replies
13K Views
UFUNUO WA VILAZA. 1)nasikia mirindimo,na sauti za vilio. Yanaungua machumo,vinafungwa kimbilio. Vinapungua vipimo,nguvu yawa egemeo. Ufunuo wa vilaza,yohana nauandika. 2)wa kale angali...
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Limetumika bungeni na naibu spika kumtuliza mbunge kwa kumuita bwege baada ya kutoridhshwa na mwenendo wake maana yake hasa ni nini hili neno? Pia Arusha limempekeka raia mahakamani kwa kumuita...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Back
Top Bottom