Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
These are some of Sheng za Nairobi. Hatujapogwa jams kwenye national language, tunaelewa Sheng. 1.kubebwa tumboni miezi tisa =hiyo ni gondo. 2.ukitwa dwanzi =ni sawa na umeitwa fala 3 . kitu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna anayefahamu maana ya msemo 'waja leo waondoka leo'? Kama sijakosea watu kuutumia kuzungumzia mji wa Tanga. Maana yake ni nini? Ningependa kujuzwa tafadhali.
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Ukipita kila kona unakuta msemo ''Huu mchezo hauhitaji hasira'' Hii slogan imeshika watu kitaa.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Tumekua walipakodi wazuri na pengine kusikia kitu kinaitwa "USHURU WA FORODHA" Je,maana ya hili neno "FORODHA" ni nini? Asante
0 Reactions
2 Replies
16K Views
Wataalam Wa Lugha, Ebu Tupeni Tafsiri Hapa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu tumekuwa tukisikia Kiswahili kibovu kikitumiwa na baadhi ya watangazaji wa ITV na hasa matumizi ya neno "Lakini". Kwa mfano, mmoja wao alisema...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
MSUKUMA HABARI YAKO. 1 Mpemba sabalheri, unaionaje hali, Kwangu mie ni buheri, namshukuru Jalali, Usiwe na munkari, lijibu langu suali, Kwanini wapenda shari, kama vile hauswali? Nang'ata na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukipita kila kona nchi hii utakuta asilimia 90 ya maduka ya vifaa vya ofisini yameandikwa Stationary badala ya Stationery..sijajua tatizo nini, ebu jaribu anza kutafiti nawe utaliona ilo..
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakati msemo huu unaanza kutumika, watu walikuwa wanasema " Tunakula Bata ". Sasa hivi wameongeza na msemo mwingine, wanasema " Tunakula bata mpaka kuku wanaona wivu. Hawa...
3 Reactions
6 Replies
9K Views
Shikamoo kiswahili!!! Lipi ni neno sahihi, maana watu wng wanachanganya; Walimfata, walimfwata, walimfatwa, walimfuata. Karibu utoe neno lingine ambalo watu wengi wamekua wakichanganya bila...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
wakati Nasoma Shahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi. Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatarishi. Hata vitu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. Akanijibu 21002. Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mfanyakazi anaelipwa mshahara bila kufanya kazi anaitwa mfanyakazi hewa. Je? Mfanyakazi anaefanya kazi bila kuchukua mshahara anaitwa nani?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
NIKO MWENYEWE KITANDANI. Barua hino sichane, tena situpe jaani, Kila siku uione, uipime kwa mzani, Saahu vitu vingine, si mahaba yetu hani, Japo mithili ya tone, yakukae mtimani, Nataraji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Neno hili maarufu katika utawala wa Dr Magufuli lina historia ndefu sana. Neno hili lilitumika tangu enzi za Agano la Kale. Ukisoma kitabu cha Nabii Zakaria 13:3 utaona jinsi watu waliokuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hudi huda adil haji. 1)mwanzo wa kale zamani,ni ngano za kilingeni. Kale sasa si thamani,kwa jamii za tumboni. Tungo tata matatani,manju bwana ulingoni. Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Naomba kujuzwa maana ya maneno kutambua,kujua,kufahamu na kuelewa.Maana watu wamekuwa wakichanganya kwenye mazungumzo maneno haya na wakati mwingine kuleta tafrani.Mfano mtu anaweza...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
binafsi huwa sipendi kusalimiwa au kusalimia SHIKAMOO. sababu kubwa ni historia ya neno lenyewe kuwa la enzi za utumwa "NIKO CHINI YA MIGUU YAKO" lakin ningependa kumsalimia kwa adabu...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
MAAJABU YA AMBONI. 1)ni ya ajabu mapango,kwa mipango ya pangika. Na maajabu milango,iwezayo ingilika. Anza kufanya mpango,nawe uweze kufika Maajabu ya amboni,nawe enda tembelea. 2)shujaa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku hizi katika lugha ya kimjini mjini kwa maana ya lugha isiyo rasmi umbea unaitwa ubuyu, ningependa kujua kwasababu gani umbea siku hizi unaitwa pia ubuyu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom