Jadili usemi huu!!!

WISE 2012

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
634
460
"kuwa na mke mzuri na mrembo ni Sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi.'' Jadili.
 
Atabemendwa kwa fujo, haswa haswa kama wewe ni mwenyeji wa Karagwe ambako mbunge wao anasema wanaume wa huko hawaoi wanawake wazuri kwa sababu wanajeshi wanawakwapua kwa nguvu, wanajichukulia! lakini dawa yao hawa ni kuwawekea "tego la kisambaa" liwamalize taratiiibu!
 
Back
Top Bottom