Habari zenu kaka/dada zangu...majina ya waliochaguliwa na vyuo vikuu yameshatoka huko vyuo vingine kama IAA, Ruaha na mengine yakielekeza kinachofuata yaani kuchukua admission form na...
Ukiumiza kichwa na siasa zetu za kibongo ukachoka chemsha ubongo wako na maswali yanayohitaji logical thinking.
Isaac and Albert were excitedly describing the result of the Third...
Monday, 20 September 2010
Imeandikwa na Vick Kombe na Geodfrey Nyang'oro
"Chadema inaamini kuwa kuwekeza katika elimu ndio nyenzo kuu ya kukabiliana na matatizo yote yanayoikabili nchi yetu...
Scholarships for International Students at Macquarie University, Australia
Mallaba Foundation
Macquarie University International Scholarships are available across most courses to cover...
Undergraduate Scholarship at University of Canterbury
Mallaba Foundation
Undergraduate Scholarship at University of Canterbury
These scholarships were established in 2010 to recognise...
Vanier Canada Graduate Scholarships
Mallaba Foundation
Canada is building world-class research capacity by recruiting top-tier doctoral students, both nationally and internationally, who will...
USA,Pediatric Ophthalmology Fellowship Program
Mallaba Foundation updated:2010-9-25 19:57:47
Fellowship for International Students in the field of Pediatric Ophthalmology at University of...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Sehemu ya Tatu ya Kifungu ya cha 11 kinasema kuwa serikali itafanya jitihada kuhakikisha kwamba watu wote wanapata fursa sawa na za...
Uwazi at Twaweza has today released a policy brief about capitation grant citing that the grant is insufficient to buy text books.....
"The analysis is contained in a policy brief titled...
Habari za leo wana JF wenzangu. Poleni na hekaheka za kampeni za Uchaguzi.
Tumeweka links za tovuti ambazo zinaweza kuwasaidia wanafunzi wa vyuo kwenye blog/tovuti yetu:
Education (See Virtual...
HABARI WANAJAMII WOTE
NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA.
NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU...
Jamani kama mtakumbuka hivi karibuni wanafunzi walio maliza kidato cha sita wali apply kupitia central admission system, vipi majibu mbona yanachelewa?.
Hawa jamaa hawafai katika dunia ya leo mda unamata sana kama ulimwambia mtu tarehe 18 mwez flan kuna watu watapoteza mda wao pesa zao kutafuta selection au na hili nalo limekaa ki siasa
Habari zenu wapendwa, naomba mwenye taarifa zinazohusu maendeleo ya sekta ya uvuvi kwa Tanzania, kama kuna study yeyote ilifanyika na inawea kupatikana itakuwa vizuri zaidi.
Shukran,
Annina
Ninasikitika kuona namna ambavyo Chuo kikuu cHA DODOMA kinavyotumika katika siasa za nchi hii hasa katika kukifagilia chama tawala- twawala.
Licha ya majigambo haya yote kwa taarifa tu wale...
SAUT naona wameweka mambo hadharani ebu checki http://74.53.24.105/~saut/selectiontcu.php
Ila ukienda TCU kwenyewe hola,sasa sijui SAUT wamepewa na nani?
Au ndo wanasubili magazeti yauze?
Wajameni naweza kuwa nilipitwa kidogo na post kuhusu edu ya Kikwete au dr yake ni ya nini?Kila leo watu wanasema khs ya Slaa ambayo mie naiheshimu sana maaana Theology si mchezo ina kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.