Natakiwa kuchagua mawili, nichague yapi?

Natakiwa kuchagua mawili, nichague yapi?

Husninyo

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
24,255
Reaction score
10,504
Habari wasomi wote wa jf.
Nachukua kozi ya uhasibu. Natakiwa kuchagua masomo mawili kati ya haya.

1.organizational behaviour
2.money and capital markets.
3. Public sector accounting and reporting.

Mnanishaurije?
Natanguliza shukrani.
 
Kama unachukua a/ccountancy.bac chagua org behavior§capital m§money mark.inakupa uzoefu wa ziada kuliko kuzama kwanye vitu vinavyo relate kama co subjects kama acc
 
Back
Top Bottom