Kuhama chuo kikuu master degree

Brandon

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
336
5
Hello brodaz and sisters,

naombeni msaada wenu hivi inawezekana kuhama chuo kimoja na kuendelea na masomo chuo kingine? Sheria inaruhusu au?

Mind you that hakuna change ya course na ni master level.

Msaada plz.
 
Back
Top Bottom