Kuna vyuo vingi vya kufundishia unesi ambavyo havijasajiliwa na serikali haichukui hatua,pia wanafunzi wa vyuo hivyo haiwatambui,mbona sasa haivisajiliau kuvifuta?
Kuna Vyuo vingi vya kufundishia Unesi/Manesi ambavyo havijasajiliwa na serikali haichukui hatua,pia wanafunzi wa vyuo hivyo Serikali haiwatambui,mbona sasa haivisajiliwi/kuvifuta?
Serikali ivichunguze vyuo hivi kwani vinatengeneza wahitimu bandia kwa kuwatengenezea vyeti.Kuna hatari ya kuwapata manesi wauaji kwa kutojua kazi husika.SERIKALI CHUNGUZA CHUKUA HATUA.
kuna kuna serikali halali tz? ipi ? na ya nani?
maana serikali iliyochagulwa na wananchi imechakachuliwa,wajanja wakaendelea na yakwao,hivyo sioni ajabu kutokuwa na utekelezaji wa majukumu ya mhimu
:hippie:
kwa sababu ya serikali iliyopo madarakani ipo kwa ajili ya masilahi yao binafsi hilo kwao sio tatizo maana wakiumwa wanaenda kutibiwa nje,hata JK alisema shule za private wajaribu kupunguza ada lakini mpaka leo kimya lakini kukataa certificate za raia wake na wakati wizara husika ipo inaendelea kukataa badala ya kufuatilia hizo shule na kusifungia ndiyo maana hata vipodozi vilivyokatazwa wizara husika haishughulikia kuingizwa kwa vipodozi vilivyokatazwana wala hawashiki wale wa kuuza jumla ila wanaenda mitaani kwa viduka vidogo na kushika vikopo viwili wanaitwa waandishi wa habari kutangaza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.