Shahada za heshima UDOM na IDM-Mzumbe...wasoma siasa au....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,613
Likes
610,864
Points
280

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,613 610,864 280
Kwenye Channel Ten Profesa Idrissa Kikula ambaye ni mwendeshaji wa Chuo Kikuu Dodoma alitangazia umma ya kuwa katika uzinduzi wa Chuo hicho ambacho sasa kinatimiza miaka minne seneti ya chuo hicho imeamua kuwaenzi JK na Kawawa kwa mchango mkubwa walioutoa kwa taifa hili.............................Profesa Kikula akielewa joto la siasa lilivyo hivi sasa nchini aliwaomba wananchi wasisome kuwa maamuzi hayo ni ya kisiasa kwa sababu wao ni wataalamu tu.................

Habari hizi pia zimo kwenye gazeti la Habari Leo...la leo...............

Tatizo kwa UDOM hawakutoa vigezo vya maamuzi yao.......na imekuwepo tabia ya vyuo vikuu hapa nchini kuwaenzi wanasiasa ambao ndiyo huwateua viongozi wa vyuo hivyo kwa minajili ya kulinda ajira zao serikalini........................

Kumuenzi JK pengine ndiyo yenye utata mkubwa zaidi kwa sababu zifuatazo:-

a) JK anatuhumiwa kudhulumu taifa hili maamuzi yao ya kikatiba ya kumchagua Raisi wa JMT.......................sidhani kama huu ulikuwa ni wakati mwafaka kumuenzi kiongozi huyu................................

b) JK amekuwa mstari wa mbele katika kusaka PHD za heshima na ikumbukwe tu pale alipoukwaa Uraisi mwaka 2005 alikimbilia USA na kurudi na shahada ya heshima.................na kule Kenya chuo kikuu kimoja kilimuenzi yeye na akina Kibaki na Raila akiwemo Koffi Annan kwa kazi ya usuluhishi ambayo Jk ushiriki wake ulikuwa ni kiduchu.....................................ukizingatia kamati mbili za ODM na PNU ambazo zilifanya kazi usiku na mchana kutafuta ufumbuzi wa mgogoro tajwa hazikuenziwa...........hawa ni akina Martha karua, William Ruto.n.k

c) Mchango wa JK katika utawala wake anahusishwa zaidi na kukua kwa nyufa za kidini na kuporomoka kwa uchumi wa nchi hii sasa sijui UDOM inamuenzi kwa sababu gani.............

d) Sijui sababu za kumuenzi Kawawa na kumuacha shujaa wa taifa hili Hayati Edward Moringe Sokoine......................................

e) Kwa nini UDOM imuenzi kiongozi ambaye yupo madarakani na kuwaacha viongozi wengi ambao hawapo madarakani kwa maana ni wastaafu?

Nao IDM-Mzumbe kumuenzi Nyerere posthumously kama ilivyo kwa Kawawa......lakini kwa Nyerere mchango wake katika ujenzi wa taifa hili kwa kuondoa matabaka ya kimapato na kikabila na kuliunda taifa moja hauna utata...............

Maswali yote haya yanasababishwa na vyuo vikuu vyetu kutokuwa na uwazi na vigezo vyao kuwa ni siri na hivyo kuleta hisia ya kuwa maamuzi ya namna hii ni self-serving tu na hayana masilahi yoyote kwa taifa hili changa duniani...............

Sura nyingine ambayo yaweza kusomwa ni ya udini hasa katika kipindi hiki ambacho udini unatajwa mara kwa mara.......................Prof. Kikula ni muislamu na JK na Kawawa ni waislamu......sas sijui nalo hili la udini limechangia hapa.............
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
10,435
Likes
1,284
Points
280

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
10,435 1,284 280

Kikwete+Kawawa+Idarisa = Islam in business.
 
Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,995
Likes
476
Points
180

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,995 476 180
Kweli UDOM ni Chuo Kikuu Cha Kata!! Wengi tu tunakuwa nao bar muda wote lakini at the end of the time wana hold BA.
 
satellite

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
613
Likes
21
Points
35

satellite

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
613 21 35
Mi nashanga UDOM wnatoa shahada ya kunywa pombe pia?jamani hebu niambieni inaitwaje hiyo course maana nashinda na walevi wengi nikajua ni wafanyakzi wenzangu mwishoe wakaniambia wanajiandaa na semester exam nilichoka kunywa kote kila siku kumbe wanachuo ss sijui walikua field ya pombe tena waalimu wao ndo mara mbili yao hasa wale wenye elimu ya ..........aaa si mnawajua lakini.
Pili hiki chuo kiko kisiasa zaidi wala wasituongopee wako kwa ajili ya kutetea watu flani waliowaweka hapo madarakani,kwani kuna tofauti gani position za wateule wa NEC na wa hapo chuo?wote wanateuliwa na mtu huyohuyo,NYANI HAWEZI KUMSEMA NGEDELE HATA SIKU MOJA WOTE NI WALA MAHINDI BWANA
 
sbilingi

Senior Member
Joined
Nov 16, 2010
Messages
144
Likes
0
Points
0

sbilingi

Senior Member
Joined Nov 16, 2010
144 0 0
Kwenye Channel Ten Profesa Idrissa Kikula ambaye ni mwendeshaji wa Chuo Kikuu Dodoma alitangazia umma ya kuwa katika uzinduzi wa Chuo hicho ambacho sasa kinatimiza miaka minne seneti ya chuo hicho imeamua kuwaenzi JK na Kawawa kwa mchango mkubwa walioutoa kwa taifa hili.............................Profesa Kikula akielewa joto la siasa lilivyo hivi sasa nchini aliwaomba wananchi wasisome kuwa maamuzi hayo ni ya kisiasa kwa sababu wao ni wataalamu tu.................

Habari hizi pia zimo kwenye gazeti la Habari Leo...la leo...............

Tatizo kwa UDOM hawakutoa vigezo vya maamuzi yao.......na imekuwepo tabia ya vyuo vikuu hapa nchini kuwaenzi wanasiasa ambao ndiyo huwateua viongozi wa vyuo hivyo kwa minajili ya kulinda ajira zao serikalini........................

Kumuenzi JK pengine ndiyo yenye utata mkubwa zaidi kwa sababu zifuatazo:-

a) JK anatuhumiwa kudhulumu taifa hili maamuzi yao ya kikatiba ya kumchagua Raisi wa JMT.......................sidhani kama huu ulikuwa ni wakati mwafaka kumuenzi kiongozi huyu................................

b) JK amekuwa mstari wa mbele katika kusaka PHD za heshima na ikumbukwe tu pale alipoukwaa Uraisi mwaka 2005 alikimbilia USA na kurudi na shahada ya heshima.................na kule Kenya chuo kikuu kimoja kilimuenzi yeye na akina Kibaki na Raila akiwemo Koffi Annan kwa kazi ya usuluhishi ambayo Jk ushiriki wake ulikuwa ni kiduchu.....................................ukizingatia kamati mbili za ODM na PNU ambazo zilifanya kazi usiku na mchana kutafuta ufumbuzi wa mgogoro tajwa hazikuenziwa...........hawa ni akina Martha karua, William Ruto.n.k

c) Mchango wa JK katika utawala wake anahusishwa zaidi na kukua kwa nyufa za kidini na kuporomoka kwa uchumi wa nchi hii sasa sijui UDOM inamuenzi kwa sababu gani.............

d) Sijui sababu za kumuenzi Kawawa na kumuacha shujaa wa taifa hili Hayati Edward Moringe Sokoine......................................

e) Kwa nini UDOM imuenzi kiongozi ambaye yupo madarakani na kuwaacha viongozi wengi ambao hawapo madarakani kwa maana ni wastaafu?

Nao IDM-Mzumbe kumuenzi Nyerere posthumously kama ilivyo kwa Kawawa......lakini kwa Nyerere mchango wake katika ujenzi wa taifa hili kwa kuondoa matabaka ya kimapato na kikabila na kuliunda taifa moja hauna utata...............

Maswali yote haya yanasababishwa na vyuo vikuu vyetu kutokuwa na uwazi na vigezo vyao kuwa ni siri na hivyo kuleta hisia ya kuwa maamuzi ya namna hii ni self-serving tu na hayana masilahi yoyote kwa taifa hili changa duniani...............

Sura nyingine ambayo yaweza kusomwa ni ya udini hasa katika kipindi hiki ambacho udini unatajwa mara kwa mara.......................Prof. Kikula ni muislamu na JK na Kawawa ni waislamu......sas sijui nalo hili la udini limechangia hapa.............
huu ni upuuzi, umeeleza mengi lakini hujaeleza ni jinsi gani udom ilikuwa formed, ata zitto mwenyewe alitoa pongezi kwa uwamuzi wake wa kujenga udom. sasa ndugu yangu ata hili nalo hastahili, ata hivyo hivi huko usa na kenya nako aliomba yeye apewe au waliamua wenyewe kumpa shahada ya heshima. kwa taarifa yako haimuongezei kitu hata kama unachukia vp ni heshima tu kwa mambo mema aliyoyafanya. anaonekana anachokifanya though mlio wengi hamuoni anafanya nini. nimeamini kweli kwamba nabii hapendwi kwao, ila ni kipenzi cha wengi hata uchukie vp. Alafu, kuhusu kuiba kura, ata ningekuwa mimi nisingeruhusu mgoni kuingia ikulu, kwa hiyo kuibiwa kura zake japo kuwa si kweli ni jambo lisilo kuwa na upinzani na naunga mkono. suala la udini, walio wengi wanapenda waislam waendelee kuwa dhalili lakini jk kafumua mifumo yote kandamizi juu yao na sasa nao wanapanda chati kwa kasi ya ajabu na ktk miaka 5 ijayo tunakomba mboga kabisaaa. Unafahamu hela zilizokuwa zikitoka ikulu kila mwezi kuingia kanisa katoliki, sasa jk kazuia ndo maana makanisa yakaja na waraka, eti waraka baada ya kunyongwaa. sasa nani mbaya ni huyu aliyeondoa dhulma kwa wananchi wa dini na madhehebu mengine au waliopita mnaowapa vyeo vya ubaba unaokubalika midomoni mwa watu na usio na uhalisia..........................
Ulitaka tumpe nani zaidi ya jk na kawawa???????? ben aliyeshindwa kuwajengea barabara watu wa kusini ambako ata mwenyewe anatoka huko kisa kuna waislamu wengi na kupeleka misaada na kujenga mashule ya bording na kujaza walimu kaskazini ambako kuna wakristo wengi, au nani. Kila mtu sasa anafahamu mbivu na mbichi. Muislamu akiongoza mnaona kero ila mkristo akiongoza mnaona poa. Huko kenya na USA alikopewa PhD ya heshima nako wakuu wa vyuo hivyo nao ni waislamu?????? Acha urojoo wewe!!!!!!!!!!!!!
 
Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
4,470
Likes
30
Points
135

Nyambala

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
4,470 30 135
Sura nyingine ambayo yaweza kusomwa ni ya udini hasa katika kipindi hiki ambacho udini unatajwa mara kwa mara.......................Prof. Kikula ni muislamu na JK na Kawawa ni waislamu......sas sijui nalo hili la udini limechangia hapa.............
Hivi haiwezekani tukapitisha hata siku moja bila kuzungumzia haya masuala ya dini????????
 
jyfranca

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2010
Messages
299
Likes
1
Points
0

jyfranca

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2010
299 1 0
Na elimu yangu ya darasa la 4 lakini nadhani hawa wasomi wa UDOM ni mbumbumbu kuliko mimi, mwanangu akichaguliwa UDOM nauza shamba aende popote ila si UDOM
 
Joined
Nov 9, 2010
Messages
52
Likes
2
Points
15

Kiokote

Member
Joined Nov 9, 2010
52 2 15
Hii ndio hasara ya kuzalisha wasomi wachumia tumbo....................Kikula na wenzie lililo muhimu kwao ni shibe tu, taifa baadae

" Who pays the piper calls the tune......"
 
Forum statistics

Threads 1,204,129
Members 457,147
Posts 28,142,404