Salaam kwenu nyote wapenda maendeleo wa dhati hapa Tanzania. Ninayo furaha kubwa kuwataarifu kwamba sisi wanajumuiya ya Chuo Kikuu Cha Dodoma ambao ni wafuasi wa dhati wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA...
Tumesikia kwenye vyombo vya habari kuwa mama mmoja huko Kahama amejifungua..........watano. Nimeshindwa kujaza hapo kwa kuwa magazeti mengi yameandika mapacha na gazetio moja limeandika watoto ...
Guys nilikuwa nimepost kule kwenye habari mchanganyiko lakini kwasababu sikuona hii sehemu, nimeona nihamishie hapa.
Pata vitabu hapa bure bila kuvunja sheria ya copyright
Download free books at...
Tumeshuhudia hivi karibuni Dr Jakaya Kikwete akizawadiwa degree ya heshima katika fani ya afya ya jamii.sababu kadhaa zilitajwa kwanini Kikwete anastahili degree hiyo.
Katika kumbukumbu zangu...
Wezi wa mitihani kudhibitiwa
Imeandikwa na Namsembaeli Mduma; Tarehe: 14th December 2010 @ 07:00
BAADA ya kukithiri kwa wizi wa mitihani katika Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), serikali...
WanaJamvi mimi nina maswali yangu kwa Wizara ya elimu
Nina watoto wangu bado wanaendelea kusoma lakini mimi nimetumia nguvu nyingi kusoma mpaka nimefikia hapa nilipo kwa elimu yangu inanitosha...
"This principles of accounting website provides a free comprehensive textbook and learning center. Both financial accounting and managerial accounting topics are covered."
Bofya hapa chini...
CBE Mwanza yahitaji mamilioni kulipa fidia
Na Wilhelm Mulinda, Mwanza
CHUO cha Elimu ya Biashara nchini (CBE) kinahitaji Sh. milioni 243,264,846 ili kulipia fidia ya ardhi katika eneo la...
na Asha Bani
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, amesema ameanza kutekeleza ahadi yake ya kutenga asilimia 20 ya mshahara wake kwa ajili ya Mfuko wa Elimu katika jimbo hilo.
Akizungumza katika...
Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi,Muhimbili Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi akimtunukia Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Afya ya Jamii(Doctor of...
Jana tulishuhudia Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS) Wakimtunukia mh kikwete honorary degree,kwenye fani ya afya ya jamii(public health).kwa ufahamu wangu fani hii ni muhimu...
Jana tulishuhudia Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS) Wakimtunukia mh kikwete honorary degree,kwenye fani ya afya ya jamii(public health).kwa ufahamu wangu fani hii ni muhimu...
THE University of Dar es Salaam (UDSM) scientists have won the prestigious Leverhulme -Royal Society Africa Award following their successful research on development of chemicals from cashew nut...
Wandugu tushirikiane kuisaka elimu ili tukomboe nchi yetu,
"This service covers free, full text, quality controlled scientific and scholarly journals. We aim to cover all subjects and languages...
Mbunge aanza na ahadi ya elimu kwa masikini
Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 8th December 2010 @ 21:40
OFISI ya Mbunge Jimbo la Arusha, imeanza kuinua watoto wanaoshindwa kuendelea na...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Tarime; Tarehe: 9th December 2010 @ 21:00
WANAFUNZI 713 waliotakiwa kufanya mtihani wa darasa la saba mwaka huu wilayani Tarime, wamekwama kufanya mtihani huo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.