Boom?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boom??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Konzogwe, Nov 23, 2010.

 1. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Jamani nisaidieni kujua. Eti Boom hupewa wale wanafunzi walioomba mkopo toka Heslb tu? Au mwanafunzi yeyote aliye dahiliwa kwenye chuo chochote cha elimu ya juu bila kujali ameomba mkopo au hakuomba?
  Asante.
   
 2. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  we unaonaje?
   
 3. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #3
  Nov 24, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  utapewaje hela ambayo hukuiomba, Bodi watajuaje kama unahitaji mkopo?!!!!!,
   
 4. J

  JOBANO Member

  #4
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukiachana na heslb,nini maana ya mkopo? Kuna mtu ashakopeshwa bila kukopa?
   
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mmh maswali mengine bwana ni kama vile mtu anakusanifu
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  omba chuo TCU, ukichaguliwa majina yatakwenda HESLB...

  Ukiripoti chuo ulichochaguliwa, unapewa mkopo wako!
   
 7. ggg

  ggg Member

  #7
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ishu iko hivi: wakati unaomba chuo pia unaza fomu kwa ajiri ya kuopewa mkopo,kwenye hiyo form utakua umejaza inormation tofauti tofauti mpaka na acount numbber yako ya benki, kabla hata ujajua unakwenda chuo gani, kwenye chuo ambacho wata ku admit, watapelekeka majina yote pamoja na lako Board ya mikopo,wao wataanza kuku evaluate upate mkopo daraja gani, either A(100%), B(80%), C(60%), na kuendelea, kulingana na information ulizowapa kwenye ileeeeeeeeeeeeee fom uliyo jaza mwanzo, kama ukiwa successiful in either of categorie then utaanza kuonja ladha ya boom accordingly , so lazima ujaze form ya mkopo helsb,ndio upate mkopo kwa uelewa wangu. hope utakua umenielewa
   
 8. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Asanteni nimekueleweni
   
Loading...