Nimepoteza Mawasiliano na hawa Ndugu zangu Keffa Mkongwa na Betty Singano wote waliwahi soma Njombe Secondary Kidato cha tano na sita.
Walikuwa class mate wangu.
mwenye taarifa nao kati yao...
kwa wale wenye sifa au ndugu zao wajalibu kuomba scholaship hii hapa
Government Scholarships Developing Countries
Scholarship Awards within the Foreign Development Assistance Programme -...
For those interested and of a background in C#, Excel, Access, Delphi, JavaScript, Visual Basic, an easy route into web development is available in morfik 3.0.
A recent acquisition of morfik by...
SHULE ya msingi Mazizi iliyoko kata ya Gwata, tarafa ya Mikese, wilaya ya Morogoro imefaulisha mwanafunzi mmoja katika kipindi cha miaka saba iliyopita ilipoanzishwa shule hiyo.
Akizungumza...
Ni kweli preta inaweza kuwa ngumu kuelewa but ninachomaanisha ni kwamba every successfull man amestruggle vya kutosha.
Achilia mbali mafisadi coz wale si watafutaji, bali wanyonyaji!!!:cool:
Salaam wanajamii.
Naomba msaada wakuu kuhusu scholarship ya shahada ya uzamili nje au ndani ya nchi. Nimehitimu shahada ya kwanza ya elimu(Bachelor of Education) UDSM mwaka 2005. Natamani...
Utafiti unaonyesha jinsi watoto wetu wanavyopata elimu duni.
Fuatilia utafiti huo hapa chini
http://www.twaweza.org/uploads/files/Je_watoto_wetu_wanajifunza.pdf
:thinking: Dah! Wandugu nimekwama kidogo naumri nao umesoge naombeni mnikumbushie swala moja tu. Nataka kuandika HIstoria ya maisha yangu kutokana na kwamba nimepitia maswaibu mengi sana sasa...
Ebwana washkaji tuskate tamaa ktk swala zima la Education as we as more you struggle as more you succefull so mazee na waungwan wote wa MABUGHA CDTTI Haswaaa Tongora kaza buti mwana.:thinking:
Ndugu zangu nimesikia kile chuo kikuu cha kilimo wanafunzi wameanza kulipia cheti cha degree pamoja na trancript. sana mimi nauliza hii ccm inatupeleka wapi? ada yenyewe hatuwezi kulipa hizo 40%...
Wadau:
Sijui kama na shule nyingine kuna tatizo kama hili:-
Binti yangu amemaliza kidato cha nne "Kisutu Girls" mwezi huu na Graduation ilikuwa tarehe 26 Oct 2010. Kama ilivyo kawaida wamepewa...
Naisikitikia nchi yangu Tanzania kwa kile kilichokilichotangazwa na Prof. Magembe kuwa serikali itafuta mitihani ya Darasa la saba ili kuwawezesha wanafunzi wote kuingia kidato cha kwanza...
Salaam! Naombeni msaada wa information kuhusu faida na hasara za kufanya kazi kama Assistant Lecturer au Lecturer pia ningeomba mwenye data anisaidie salary scale ya Assistant Lecturer(M.Sc...
Wakuu naomba mpitie hiyo makala hapo chini muone naomna sekta ya vitabu ilivyovamia Bongo. Ni makala kutoka gazeti la Mwananchi leo jumanne tar 26 2010
Mkanganyiko vitabuni
Kitabu...
Experienced Accounting and Finance Tutor for University students (Open university and the like) and professional qualification students (like CPA and ACCA) is available.
If you need assistance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.