Topic gani za primary na secondary skuli unazokumbuka ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Topic gani za primary na secondary skuli unazokumbuka ?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mtazamaji, Nov 16, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi

  • Je kuna hadithi yeyote unayokumbuka kwente vile vitabu vya Primary English for Tanzanian Schools. Mr & Mrs Daudi, Baraka Neema etc
  • Unakumbuka Hesabu Za magazijuto?????
  • Unakumbuka Tujifunze Lugha yetu na hadithi kama kibanga kampiga Mkoloni na mashairi kama ya sungura sizitaki mbichi hizi
  • Kilimo cha Pamba ...... Kilimo Cha Mpira Malaya Kilimo cha buni ........
  • Vitabu vya Mabala the farmer and Hawa the Bus Driver, etc
  • Khamis Hebu Lile Beberu Baya Chinja Ndipo........ teh teh Sijui kwenye Chemistry unakumbuka nini?
  • Unakumbuka nini kwenye somo la Biolojia au physcis geopraphy,etc

  Tukumbushane any interesting story ,subject au topic ya kanumbas schoools enzi hizo
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Miwshowe sungura eti alibaki kusema hayataki matunda mabichi kumbe ukweli alishindwa kuyafikia

  Hii ilikuwa ni darasa la tatu somo la kiswahili Kitabu tujifune lugha yetu siku hizi hizi wanatumia vitabu gani  hili Shairi ilikuwa darasa la Sita Tujifunze lugha yetu mambo. Hapo tulikuwa tunafundiswa mambo ya vina na mizani. ile nimesahau nini maana ya neno mizani?
   
Loading...