Naombeni msaada


Joined
Oct 4, 2010
Messages
17
Likes
0
Points
3

Pacemaker

Member
Joined Oct 4, 2010
17 0 3
Naomba msaada hivi katika 'A' level ukichukua combination ya HKL (History, Kiswahili, Language) mtu hutegemea kazi zipi atakapoendelea?
Kazi zipo nyingi tu ndugu.Ila sijui kama umehitimu tayari ktk huo mchepuo au la, unampango wa kuendelea nao. Kama upo skuli pull up ur sox kuna fani nyingi professional zinahitaji watu wa arts km ww mfano mamboya maendeleo ya jamii vijijini jinsia km maths umo kiasi fln safi sana ukitaka uchumi biashara utawala and so on. shuln kwenu km kuna ma career guiders wanaweza kukushauri vema zaidi.
 

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
596
Likes
9
Points
35

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
596 9 35
B.A. in Archaeology
B.A. in Culture and Heritage
B.A. in Heritage Management
B.A. in Fine and Performing Arts
B.A. in Language Studies
B.A. Literature and Language
B.A. in History
B.A. in History and Archaeology
B.A. in Political Science and Language
B.A. in Political Science and Philosophy
B.A. in Political Science and Public Administration
B.A. in Political Science and Sociology

B.A. in Sociology
B.A. in Sociology and Philosophy

B.A. in Journalism
B.A. in Mass Communication
B.A. in Public Relations and Advertising
B.A. with Education
B.Ed. in Arts
B.A. in Kiswahili

B.Ed. in Early Childhood Education
B.Ed. in Physical Education and Sport Sciences
B.Ed. in Psychology
Hizo ni baadhi ya Course anazoweza soma akiwa chuo kikuu,hivyo unaweza jua ataweza fanya kazi gani.
 

Forum statistics

Threads 1,204,303
Members 457,226
Posts 28,149,570