TCU na vyuo abroad... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU na vyuo abroad...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mpelijr, Nov 24, 2010.

 1. Mpelijr

  Mpelijr Member

  #1
  Nov 24, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Ndugu zangu nimekuja kugundua kuwa hawa jamaa wetu wa vyuo vikuu nao hawafai.kuna rafiki yangu alimaliza chuo chake india ila cheti chake kilikosewa jina asa kwenye kufuatilia ndiyo wakafika tcu..hawa tcu wakapiga simu chuoni kwao na kesho yake wakamwambia mama yake kuwa hicho chuo alichokuwa anasoma mwanae ni cha mtaani,hapakutosha nyumbani kwao siku hiyo lakini kumbe tatizo ni kuwa tcu waliwapigia simu watu wa chuoni kule na kuongea na mhindi mmoja wao kwa kuwa tu yule aliyemcontact hawakuweza kuelewana lugha basi jamaa wa tcu aka conclude miaka 4 ya mtu wa watu kuwa alikuwa anasoma chuo cha mitaani....tcu acheni.....mtu asome miaka mi4 au 5 nyie mje muongee na chuo chake dakika 2 halafu mseme hamkitambui hicho chuo au ni cha mtaroni...hatutaki kama hamjui lugha ajirini ma translators!!!!!!!!!
   
 2. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama sababu ni kuwa aliyefanya mawasiliano first hand alikosema, cha muhimu ni kufanya ufuatiliaji wa karibu kabla ya kuwatuhumu!! Kwa mfano, je unajua protocol ya recognition ya vyuo vya nje? Unaweza kuanzia hapo, ukishajua protocol, then unapambana nao kwa kufuata utaratibu walijiwekea ili kupata haki yako!!!

  Good luck na pole.
   
 3. Mpelijr

  Mpelijr Member

  #3
  Nov 24, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Ni sawa lakini ujue hapo walisha haribu mahusiano ya mtu na mzazi wake,we fikiria mzazi anajua hapo kwamba miaka 4 alikuwa anatuma hela hewani...halafu suala siyo recognition protocol ni ka uzembe walikojijengea TCU,they feel like they can decide whats this and whats that..na chuo chenyewe kipo recognized intl. na wanajenga campus hapo bongo...ni punjab technical university!!!!!
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,018
  Trophy Points: 280
  nenda zako wewe kwani ina maana wewe kama graduate huwezi kujitetea na kuonyesha kuwa chuo chako kiko full registered na accredited? yani graduate unashindwa kujitetea?
   
 5. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wanatanzia tuwe makini sana na vyuo hasa UK,USA,Malayasia,India,Singapore just to mention few.
  Kwa kesi ya India na USA kuna vyuo vingi sana ila me nawashauri wanao taka peleka watoto wao huko wapeleke kwenye State or Central universities.
  Dunia ya leo kuna vyuo vingi sana,ukiangalia hata hapa Tanzania kuna chuo kama hiki
  http://http://www.learnit.co.tz/
  kinatoa degree,sina hakika kama kimesajiliwa na TCU!!
   
Loading...