Tujikumbushe Mpwapwa Sec School | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe Mpwapwa Sec School

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Majita, Nov 27, 2008.

 1. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hapa naamini sitopata mtu hata mmoja.Nikimpata naamini mvua ya mawe inaweza kunyesha hapa JF.

  Haya Tuanze na Mazengo,Pima,Meeen,Gaguti,Soap,Mugube,kusenha na Mtaalamu wa kilimo Prosefor Mwasamila na Dr Mama Kipangula.Msimusahau BB aka Babiligi wa fomu wani weyi.
   
 2. M

  Mama JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Changanya humo na Bihawana, Don Bosco na Msalato.
   
 3. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Mama kwa kweli kama ukisikia watu tulikuwa tumetumwa na kijiji hapa ndo ushahidi.Wewe fikiria hadi sasa product ya Mpwapwa niko peke yangu.Yaani kweli kazi ipo.Kuna kijamaa kimoja kiko pale UDSM kina masters ya Computer Science au kimemaliza PHD sasa kiko Smart Card,si kijitokeze jamani tukumbushiane hapa????wewe Bakuza,Ntemi,Kayanda,Omvyei,Matonya mko wapi????najua mko nchi za magharibi.nyie ngoja tu mkae kimya.
   
 4. D

  Darwin JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hahaaaaaaa, Unachekesha.

  Wengine tulisoma day, mambo ya maini[maharage] kama majina ya shuleni hatuyajui.

  Labda utuulize kugombana na makonda.
  Tulizoea kwenda nakurudi nyumbani, kama mama kapika kauzu,dagaa bichi ndio hiohio
  Kesho yake mchicha, keshokutwa bamia, siku nyingine kisamvu.
  Mwisho wa mwezi nyama kwa wingi.
   
 5. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Mpwapwa ni secondary?! Sounds like a swamp full of infectious worms!
   
 6. D

  Darwin JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hahaaaaaaaaaaa
   
 7. m

  macinkus JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2008
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  mnazungumzia mpwapwa ya lini? nilisoma hapo daras la 7 - 10 miaka ya 1955-60 lugha msemayo mbona siielewi?

  macinkus
   
 8. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45

  Ni mpwapwa hiyo hiyo aliyosoma malecela.
   
 9. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45

  You must be "GOOD" in geography.
   
 10. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45

  kugombana na makonda Mpwapwa??Kaazi kwelikweli
   
 11. D

  Darwin JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sijasoma Mpwapwa na wala sikujui.
  Nimesoma Dar shule zetu zilikua day, kwahio sina lakusema kuhusu shule za boarding.
   
 12. s

  samira New Member

  #12
  Jun 1, 2010
  Joined: May 8, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HELLO! kuna wanafunzi walosoma mtejeta to mpwapwa seconday hapa?
   
 13. B

  Bizzly Member

  #13
  Jun 1, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  mdau uliyeleta maada umenikumbusha mbali kweli? hasa hao walimu akina Pima, Mwasamila na yule mke wake na Pima alikuwa akituletea EMO.
  Mimi nimekata shule pale A-level 2000-2002 pia kulikuwa na mwalimu Shayo, mama Mkonyi bila kumsahau kijana mmoja hatari akijulikana kwa jina la Bingwa.
   
 14. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2010
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Weraaaaa............. Naona kama umemsahau Peter Naali aka Top. Huyu mkuu wa shule sijawahi kuona.
   
Loading...