Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

wenzangu na mie tunaougulia maumivu ya transfer ya loan tukutane hapa tufarijiane..
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wadau.. Kwa wenye ufaham hivi cheti cha kumaliza kidato cha nne kisipochukuliwa miaka mingi.. kinakuwepo bado shuleni au kinarudi NECTA... Nauliza maana nataka kwenda shuleni niliposoma...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Mimi nilimaliza diploma in accounting mwaka 2011 nimesaka AJIRA ngumu kupata.sasa mwaka 2016 nataka nikasome je nishaurini nikasomee degree gani ambayo ntapata AJIRA fasta?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa: Watumbua majipu wote; Watumbuliwa majipu wote; YAH: KICHWA CHA HABARI HII Ni imani yangu humu ma GT na wadau wote tuna uelewa wa kutosha kuhusu tatizo la watoto wa mitaani, sio Dar tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi nyie watu wa NECTA mmeanza lini kukopa wasimamizi wenu? Maaana inashangaza hadi mda huu baadhi ya wasimamiz wa mtihani wa kidato cha nne hawajalipwa pesa yao, hivi mnafanya makusudi au ndo...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Mh.waziri wa elimu tunaomba uangalie mfumo unaotumika kutoza ada kwa vyuo Vikuu binafsi kwakuwa vimekuwa na Gharama kubwa sana Ukilinganisha na vyuo vya serikali na kufanya watu wa hali ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naitwa mwal Msofe. nipo mkoa wa Mara, Wilaya Musoma .nataka kubadilishana kituo cha kazi kwa aliye tayari..mimi niende kwenye Hii mikoa au wilaya . Arusha. Manyara. Kilimanjaro. Tanga. dar es...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naitwa mwl msofe. nipo musoma v. mara... nataka kubadilishana kituo cha kazi nirudi Arusha,manyara,kilimanjaro,tanga,babati, nipo mahali penye huduma zote. umeme.maj.tigo pesa.m pesa.airtel...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Udom as no shida tupu utadhani secondri za kata..uongozi mbovu..kusajiriwa tu had I bahati tu. Kwan kuna baadhi ya watu hadi Leo hawajasajiriwa magufuli wapi baba..
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Naomba mwenye uzoefu wa kozi za ufundi zinazotolewa na veta zenye ajira ya haraka ikiwa mtu atasoma certificate mpaka diploma. Naomba kuwasilsha
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Watu wote wanafurahia kupokea kilicho Chema kutoka kwa ndugu jamaa na Marafiki. Zawadi ni zawadi! Iwe kidogo ni zawadi na inapokelewa kwa Moyo wa shukrani. Wengine wanatoa magari, wengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ww ni mwalimu wa muda mrefu na Tunaotarajiwa kuajiriwa mwaka ujao,Tunaomba Maoni, Ushauri, na Mtazamo wako ili tueze kuendane na kauli mbiu ya hapa kazi tu.
1 Reactions
3 Replies
5K Views
historia na ushahidi wa kuaminika unaonyesha kuwa elimu waliyopewa watu weusi huko afrika kusini miaka ya 1974 haikuwa halisia na ilipindishwa kwa ajiri kuwadumaza watu weusi kufikri maana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninasikitishwa sana na hili tatizo, kwa wanaofuatilia hakika watakuwa wameshaligundua hili tatizo. Katika uchunguzi nilioufanya niligundua kuwa wanafunzi waliofanya vizuri sana tena kwa...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Je unatafuta shule kwa ajili ya mwanao wa miaka 2-5? Je unahitaji kufanya shughuli zako za uzalishaji mali huku mwanao akiwa katika mikono salama ya walimu wazoefu kuanzia saa mbili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanafunzi Wa Sekondari Washindwa Kusoma Na Kuandika Sentensi Za Darasa La Kwanza! Wanafunzi 14 wanaosoma katika Shule ya Sekondari Mgololo iliyoko Wilaya ya Mufindi, Iringa, wamebainika kuwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
By Malisa GJ, Katika ndoto niliyokuwa nikiota itimie ni ya Dr.Joyce Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu. It waz ma long time ambition japo sikujua ndoto hii itatimiaje maana Ndalichako si Mwanasiasa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
habari za jion wana jf. wakubwa shkamoo, wadogo mnisalimie na 20yrs na wale tunaolingana niaje. mimi ni dent wa chuo kimoja hapa iringa sina aman nachukua bachelor ya mambo ya computer. sasa wasi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wana JF! Naitwa paul nipo udom 1st yr, hakika maisha yangu ya hapa chuon yamekuwa magum na hvyo kpelekea kkata tamaa ya kuendelea kusoma, ukwel bodi yetu ya mikopo imekuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nasikia kuna kiapo cha uadilifu kwa walimu mwish tar 30 mwez huu Kama tarifa iyo apo juu mwenye tarifa kamili atujuze
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom