Kubadilishana kituo cha kazi

Rizeeck

Member
Aug 7, 2014
30
5
Naitwa mwl msofe. nipo musoma v. mara... nataka kubadilishana kituo cha kazi nirudi Arusha,manyara,kilimanjaro,tanga,babati, nipo mahali penye huduma zote. umeme.maj.tigo pesa.m pesa.airtel money... tuwasiliane 0767 900094...
 
Kwa staili hii sidhan km utafanikwa,kwa ushaur piga deal na watu wa halmashaur unayotaka kuhamia upate nafas,ikipatikana nafas sbb ya kuhama hua hazikosekani.
 
Back
Top Bottom