KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 255
historia na ushahidi wa kuaminika unaonyesha kuwa elimu waliyopewa watu weusi huko afrika kusini miaka ya 1974 haikuwa halisia na ilipindishwa kwa ajiri kuwadumaza watu weusi kufikri maana walifundishwa kinyume nyume. nimefatilia kwa kina aina ya Elimu tunayopewa hapa Tanzania haina utofauti sana na elimu waliyopewa watu weusi huko afrika kusini maana elimu yetu haitujengi namna ya kufikri na ndiyo maana kila kitu unachokiandika lazima uweke source, elimu yetu imejikita sana ku reflect mazingira ya ulaya, mfano democracy in U.S.A, kilimo cha miwa CANADA, ufugaji AUSTRALIA, na ndiyo maana kijana anapoingia kidato cha kwanza anaanza kubadili mwondoko, mavazi, mpaka kuongea kwa sababu kila kitu anafundishwa kwa case study za Europe,. pili bado elimu yetu haijatujenga na kutuwekea misingi ya kujiajiri maana tunafundishwa mambo ya ulaya baadaye tunaenda kuomba kazi Nanjilinji, Kakonko, au bihalamulo wakti huo umesoma democracy ya marekani, kilimo cha miwa canada n.k (A university does not deserve the name if it does not promote thinking