rodgers mbwana
Member
- Sep 22, 2015
- 31
- 4
wenzangu na mie tunaougulia maumivu ya transfer ya loan tukutane hapa tufarijiane..
Kwani siku 60 zimeshafika
Mi mpaka saivi sjaenda kujisajili chuo tumaini makumira
Siku 60 zishafika kwang
We uliuhamisha toka chuo gan mkuu
Kuuumbeeeee.... Ndo maana dd zetu wanajiuzagaaa... Mpaka mwaka wa 2??? Hahahaaaa Nouma xaaanaaa
wakuu siku stini ni general wala sio kwa mtu mmoja mmoja yani walianza kuhesabu tokea registration zilipoanza na tokea tarehe 23 ndo zilikamilika mfano hapa DUCE majina ya watu 58 ambao walihama na wale ambao hawajasajiliwa kwa sababu zao binafsi yameshabandikwa tayari kwa kurudisha allocation zao bodi cha msingi loan officer wa chuo ulichohama anatakiwa asirudishe pesa mapema kuanzia sahivi ikiwezekana unaenda chuo husika kabisa mi mwenyewe nilikuwa st josef nampango wa kuwakuta wazirudishe hela zangu bodi mapema wasije wakahisi ni za kwao wakati watu tunapata shida hapa mjini na ukizingatia sisi ni wakiume
Udsm washarudisha nao piawakuu siku stini ni general wala sio kwa mtu mmoja mmoja yani walianza kuhesabu tokea registration zilipoanza na tokea tarehe 23 ndo zilikamilika mfano hapa DUCE majina ya watu 58 ambao walihama na wale ambao hawajasajiliwa kwa sababu zao binafsi yameshabandikwa tayari kwa kurudisha allocation zao bodi cha msingi loan officer wa chuo ulichohama anatakiwa asirudishe pesa mapema kuanzia sahivi ikiwezekana unaenda chuo husika kabisa mi mwenyewe nilikuwa st josef nampango wa kuwakuta wazirudishe hela zangu bodi mapema wasije wakahisi ni za kwao wakati watu tunapata shida hapa mjini na ukizingatia sisi ni wakiume