kipusi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 443
- 75
Mh.waziri wa elimu tunaomba uangalie mfumo unaotumika kutoza ada kwa vyuo Vikuu binafsi kwakuwa vimekuwa na Gharama kubwa sana Ukilinganisha na vyuo vya serikali na kufanya watu wa hali ya chini(watoto wa maskini) kushindwa kumudu gharama za masomo baada ya kudahiliwa na kufanya wachache wenye uwezo wasome. Hivyo tunaomba litazamwe. Natumaini kilio hiki kitashughulikiwa.