Mkuu sio kwamba nilikua nimekaa2 nilikua najishugulisha huku nasaka AJIRA ya uhasibu nimekosa kabisa ndo mana nahitaji nikasome degree ganiMiaka 5 uliyokaa mtaani ilitakiwa uwe na kimradi chako kama duka hivi la kuuza vifaa vya ujenzi etc
Mkuu kwani huwezi kuishi bila kuajiriwa?
Okay KIONGOZI asante kwa wazo zuri ndg yangu na je mda wa hyo application ya special education huwa mwez gan?pia je nikisoma bachelor degree of education in commerceachana na mawazo ya degree mkuu kasome special diploma ya education udom au kama ulifaulu biology kasome CO hapo ajira faster