Elimu bure: Tuwakusanye watoto was mitaani

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,163
37,801
Kwa:
Watumbua majipu wote;
Watumbuliwa majipu wote;

YAH: KICHWA CHA HABARI HII

Ni imani yangu humu ma GT na wadau wote tuna uelewa wa kutosha kuhusu tatizo la watoto wa mitaani, sio Dar tu, bali Tanzania nzima.

Naomba tuambiane humu, namna gani kila wilaya ifanye, jamii ifanye ili watoto hawa wapate elimu maana tushapata pa kuanzia. ELIMU BURE

Naomba kuwasilisha.
 
Sawa kabisa, kuwe na harambee kama ile ya usafi. Tuwakusanye wote na kuwa sambaza mashuleni.
 
Back
Top Bottom