HappyValleySchools
Member
- Nov 19, 2015
- 6
- 2
Je unatafuta shule kwa ajili ya mwanao wa miaka 2-5?
Je unahitaji kufanya shughuli zako za uzalishaji mali huku mwanao akiwa katika mikono salama ya walimu wazoefu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nane ama saa kumi jioni?
Je unahitaji mwanao ajifunze maadili mema na nidhamu?
Je unatafuta shule yenye ada nafuu huku mwanao akipata huduma zote muhimu? Kama chakula, maji safi na salama, na kupumzika (kulala) baada chakula cha mchana?
Je unahitaji mwanao ajifunze, kuongea,kusoma, kuandika na kuhesabu kwa ufasaha katika lugha lugha zote mbili kingereza na Kiswahili?
Je unahitahi mwanao apate huduma za kiasikolojia kutoka kwa mtaalamu mwenye uzoefu wa saikolojia mwenye shahada ya uzamili ya chuo kikuu cha Dar es salaam?
Happy valley day care center ndiyo jibu lako. Tunapatikana boma road karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Morogoro
Wahi sasa nafasi ni chache fomu bado zinapatikana, shule itafunguliwa 18/1/2016.
Kwa maelezo zaidi wapigie simu namba 0714 022 038 au 0783 400 701
Ama tembelea Happy Valley Day Care Center - Kids Race for Excellence in Good Hands