Je ni fani ipi toka veta ina ajira

Mwanakanenge

Member
Nov 25, 2012
75
16
Habari wanajukwaa,
Naomba mwenye uzoefu wa kozi za ufundi zinazotolewa na veta zenye ajira ya haraka ikiwa mtu atasoma certificate mpaka diploma.
Naomba kuwasilsha
 
fundi nguo, ukipata sehemu kama sinza kweli alivosema mdau hapo juu utapiga pesa hadi ukimbie.
 
Back
Top Bottom