Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

man ov action

Member
Nov 13, 2015
58
7
Habari ndugu zangu wana JF!
Naitwa paul nipo udom 1st yr, hakika maisha yangu ya hapa chuon yamekuwa magum na hvyo kpelekea kkata tamaa ya kuendelea kusoma, ukwel bodi yetu ya mikopo imekuwa chanzo cha matatizo haya yote,!! ni miongon mwa wanafunzi walioomba mkopo lakini kwa bahati mbaya kutokana kile kilichodaiwa na bodi kuwa taarifa zangu hazikufika nilishindwa kupata mkopo katika lot ya 1,2,3&4 bt nilipigana kwa juhudi zangu zote hatimaye nikafanyiwa allocation ktk lot ya 6!! lakini jambo la kushangaza ni kwamba ni wiki tatu toka lot ya 6 itoke bt jina langu halijafika kwa ajili ya kusain meal and accomodation, hali yangu imekuwa mbaya na cjajua hatima ya maisha yangu hapa chuoni, cna pesa na nashndwa kukopa kwa wezangu kwa sababu cna uhakika ni lini jina langu litakuja!! na cjajua utaratibu mzima wa utumaji wa majina hayo unakuaje!!!
Naitaji ushauri wemu wakuu cjui nifanyaje mpaka saiz naandika uzi huu nimelala 2 cna pesa,!!
kama kuna mtu mwenye tatizo kama hili naomba tufamiane jaman!
 
Tumia matumizi ya akili nyingi uweze kusurvive jina litakuja tu wiki hiyo inayokuja ,,,sababu hata sisi ni kama ww ila tunakomaaa kibishi na maisha yanasonga
 
ukwel nmevumilia sana mkuu, wengne wanakaribia kudai bum la pili mimi hata jina lang halibandikwi, inaniuma sana hal yang n mbaya sana yan!!
 
Habari ndugu zangu wana JF!
Naitwa paul nipo udom 1st yr, hakika maisha yangu ya hapa chuon yamekuwa magum na hvyo kpelekea kkata tamaa ya kuendelea kusoma, ukwel bodi yetu ya mikopo imekuwa chanzo cha matatizo haya yote,!! ni miongon mwa wanafunzi walioomba mkopo lakini kwa bahati mbaya kutokana kile kilichodaiwa na bodi kuwa taarifa zangu hazikufika nilishindwa kupata mkopo katika lot ya 1,2,3&4 bt nilipigana kwa juhudi zangu zote hatimaye nikafanyiwa allocation ktk lot ya 6!! lakini jambo la kushangaza ni kwamba ni wiki tatu toka lot ya 6 itoke bt jina langu halijafika kwa ajili ya kusain meal and accomodation, hali yangu imekuwa mbaya na cjajua hatima ya maisha yangu hapa chuoni, cna pesa na nashndwa kukopa kwa wezangu kwa sababu cna uhakika ni lini jina langu litakuja!! na cjajua utaratibu mzima wa utumaji wa majina hayo unakuaje!!!
Naitaji ushauri wemu wakuu cjui nifanyaje mpaka saiz naandika uzi huu nimelala 2 cna pesa,!!
kama kuna mtu mwenye tatizo kama hili naomba tufamiane jaman!

teh teh kumbe Dogo umeanza kutusumbua humu tangu zaman ulikuwa secondary??????
 
Mimi mwenyewe nimekomaa kama ww tena zaidi yako ,,,na hata chuo waligoma kunipa usajili mpaka nilipe ada ,,nikatumia akili na miundo mbinu mikubwa bila kuwa na msaaada sehemu yoyote lakini ,matumizi ya akili nyingi yakanipa maarifa nikapata hiyo milion moja nikalipia ada nikapata udahiri ,,then nikaludi bodi nikaendeleza harakati mpaka kwenye hiyo lot ya 6 ndiyo na mm jina likatoka tena wakanipa 95% ,,xo mpaka sasa majina hayajaja kama ww ila tunasubiri tu sababu hata yakija kwa pamoja na Yale mengine ya hawamu ya pili ni poa tu sababu utapata yote mawili kwa mkupuo ,,xo utakua tajiri mdogo wa muda,,ila matumizi ya akili nyingi yanasaidia kwani faida nilio pata ni kubwa sababu bahada ya kukomaa kupata ile milion moja ya ada walio nidai mwanzo kabla cijapata mkopo ,,now bahada ya kuja kunipatia hiyo 95% ni kwamba ile milion moja wataikata kwenye hiyo 5% na michango mingine mpaka mwaka wa mwisho xo sidaiwi tena ada na michango yoyote mpaka mwaka wa mwisho,,xo vuta subira na uvumilivu utapata ,,ndiyo nchi yetu ilivyo,,ila nasisitiza tena matumizi ya akiri nyingi ndiyo chanzo cha mafanikio
 
Back
Top Bottom