Tamko la Serikali Kuhusu Malalamiko Dhidi ya Matokeo ya Somo la Islamic Knowledge Katika Mtihani wa Kidato cha Sita 2012
http://www.necta.go.tz/matangazo/RPRESSIslamicstudiesFinal1.pdf
Kazi kwenu
Poleni kwa masomo mlio nitangulia kielimu, nimetafuta mwl wa tuition kwa masomo ya business mathematics na business study nikaona gharama ni juu sana nikilinganisha na masomo ya Communications...
Hi Members wote wa jamii forum!!!!!!! Naitwa Yusuf nasoma chuo cha uuguzi Manyara' napenda kuulizia kwa wale mnaosoma vyuo vya afya hususan vya Government, ethi pesa ya chakula huwa mnatoa...
Mimi bado ninawasiwasi na serikali kama imejipanga kusimamia matumizi sahihi ya PESA hizo.
Tulisha ambiwa na Rais mstaafu wa mwaka huu kuwa Halmashauri kuna mchwa, unatafuna PESA hata sarafu...
Habari za siku wana jamii?
Mmi nimesoma digrii ya sayansi ya kompyuta nina uwezo wa kufundisha physics na mathematics nataka niingie serikalini. Naomba msaada wenu jinsi ya kujiunga na shule za...
Kuna tatizo linanisumbua sana, nimeappeal mkopo wangu, nimechunguza sehemu zote zimejazwa vzr, cha kushangaza zaidi nikiangalia application status ninaambiwa INCOMPLETE! Tatizo ni nini...
Mimi ni mwalim ninaesubir ajira,natafuta temple kwa shule hasa za private...ni mwalimu wa physics na hesabu..namba za simu 0654919407/0753157624..tuwasiliane kwa mwenye hitaji hilo
Hivi nyie watu wa Tamisemi mnaohusika na elimu,walimu walishawakosea nini,inakuwaje MTU adai malimbikizo ya mshahara kwa miaka minne bila mafanikio?wakati viambata vyote ameleta?kila mwaka mnasema...
Hello!
Bodi yetu ya elimu ya juu inatakiwa kuwa ya mfano kwenye elimu yetu lakin naona ni tafauti kidogo, system imekuwa wazi tangu jana lakin bado kuna error cjui kwanini sasa mnaweka wazi kitu...
Ndio maamuzi niliayoamua na hapa nafanya mpango kukusanya vyangu huku nilipo, najua life litazonga ila kipimo cha akili ni ugumu wa maisha, ipo siku nitatoka tu. Siwezi kuwa mtumwa kamwe...
Ikiwa ni mwaka wa pili sasa tangu nijiunge na chuo hiki Cha udom, naona maisha yanazidi kuwa magumu kila uchao ni bora ya jana, hali inayonifanya nisononeke sana na kutaka kuacha masomo Kwani kila...
Salaam wakuu, habari za likizo, poleni na majukumu mliyokuwa nayo katika kila sehemu unayohusika....
Mapambano lazima yaendeleee hata palipo na ugumu... kwani ugumu ndiyo chachu ya uelewa wa...
Habarini wanajamvi
Nina shida, namtafutia mdogo wangu shule ya sekondari ya private nzuri nimuhamishie. Mdogo wangu alikuwa seminary ameshindwa kufikia wastani wa 50 na amepata 45 so wamekataa...
Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Biology kwa miaka minne sasa.. Nina BSc. Ed, ninafikiria kuapply Medical Doctor. na kuwa daktari huko siku za mbele badala ya kusoma Masters.. Kwa sasa nina...
mie ni kijana ambae mwenye umri wa miaka 24 na nilibahatika kurudia mtihani wa kidato cha nne na kupata c,c,b,d,d wakati nawaza kuendelea na elimu ya kidato cha 5 baba angu mzazi alifariki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.