Tetesi. kiapo cha uadilifu kwa walimu

millers

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
257
34
Nasikia kuna kiapo cha uadilifu kwa walimu mwish tar 30 mwez huu Kama tarifa iyo apo juu mwenye tarifa kamili atujuze
 
Ingekuwa vizuri kabla ya kuapishana kwanza tungeshughulikia maslai ya walimu na posho, mazingira kuboreshwa na mitaala. Lastly ukishayatekeleza hayo ndo zije inshu za kuapishana. Sasa madaraja tu na kulipa walimu kwa mujibu wa elimu yake ni shida. Sasa kiapo kibasaidia nn?
 
Kwani mawaziri walio itwa mizigo NA kinana hawakuapa KABLA ? Polisi huwa hawaapi ? mbona rushwa wanapokea ? wastage of time and money only
 
Back
Top Bottom