Wadau,
Naomba kujuzwa nimehamia dar hivi karibuni sasa imenipasa kuhamisha watoto shule .ninaomba wazazi wenzangu na wanau wa elimu mnijulishe shule nzuri kwa watoto (English medium)ambazo asana...
Daaa, kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
kuna mwanafunzi alichaguliwa chuo kipo Dar es salaam kupitia nacte na mkopo alipata, baadae alifanya transfer kwenda chuo kingnine mkoani na akajisajiri na kuanza kusoma.
Boom lake bado halijafika...
Katika chuo kikuu cha udom kumekuwa na matatzo kadhaa ambayo kwa mugbu wa muheshimiwa magufuli ni majibu yaliyoiva kabsa na yanatosha kutumbuliwa
-swala la kucheleweshwa kwa hela ya meals and...
NIMEJIULIZA MASWALI YAFUATAYO;_
(1) NI KWANINI WAKUU WA SHULE MITAHAL HII WANAIFICHA SANA NA HAWATAKI WAWAONESHE WALIMU??
(2)MTAHALA NI MZURI NA UNAMAMBO MENGI SANA AMBAYO KWAKWELI YANGEKUWA...
Ulituaidi kuwa utatoa laptop kwa wanafunzi Wa vyuo wanaosoma masomo ya sayansi ila uongozi Wa udom wanataka wazifanyie fursa hizo pesa ,:> hil pia ni jipu na limeiva kwani hadi Leo ni kimya
Habari zenu wadau wa jukwaa la elimu
Naomba kuuliza wenye taarifa juu ya hivi vibali vya uhamisho toka Tamisemi kwa watumishi wa umma huwa lini unatoka maana June imepita bado kimya.
Wenye...
Kuna vyuo hapa nchini ambavyo vimekuwa na utaratibu wa kutoza faini mwanfunzi anapochelewa kulipa ada mfano mwezi mmoja au miwili baada ya chuo kufunguliwa bila kujali mwanafunzi husika ana mkopo...
Naomba serikali imtazame mwalimu kwa zaidi ya jicho la tatu kwa sababu zifuatazo..
-Hivi wajua kuwa mwalimu anaongoza kwa kukopwa na wanajamii wanaomzunguka ingawa mshahara wake ni mdogo¿
- Kama...
Habari wadau,
Mimini kijana mchakarikaji hapa mjini. Katika kutafuta njia ya kuweka maish yangu na familia yangu level flani ambayo hata nikiondoka wasipate taabu. Elimu yangu ni ya kawaida...
Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya.
Wapendwa kuna hii call for application nimeiona, nadhani kuna baadhi yetu itakaowafaa. BOFYA HAPA KWA MAELEKEZO YOTE.
Sharing is caring.
Salaam wakuu.....
Ningependekeza kwenye shule za ordinary level lingekuwepo somo la kuwapa maarifa ya kujiandaa kuchangua combination advance kuliko mtu mtu kujisomea tu ili mradi amesoma na...
The Tanzania Commission for Universities (TCU) could soon have mandate to disqualify people holding suspicious academic credentials if plans to enact a Bill to that effect takes hold, the Guardian...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.