Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wadau wa elimu, Mimi nataka kujua kuna vigezo gani vinavyochukuliwa mtoto wa aliyemaliza darasa la saba kuchaguliwa nje ya shule za kata za sekondari? Nauliza hivyo kwasababu posti za...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tukumbukane, tuwe wamoja, tupeane michongo. By Buke 0767840793
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni msaada,mimi nina king'amzi cha continental na tv ya rising flat screen pamoja na ya kichogo. Bahati mbaya tv ya rising haitoi sauti nikiunganisha tena hata nikiweka flash bado shida ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mwanafunzi yoyote wa Saut Mwanza tufanye Kazi ya kitaaluma. Awe anasoma BAED au BPHIL mwaka wa pili au watatu. Pm please
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mwenye ayo materials anaisaidie jamani nataka mwezi january ili may nifanye
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inashangaza sana kuona Uongozi Wa Chuo hauwajibiki ipasavyo kuwasimamia walimu kufundisha kama Sheria inavyotaka.Walimu hasa wale waliokuwa wanachuo wamekuwa hawaingii madarasani ila wakati Wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Logic tells me katika dunia halisi kama yetu kitu chochote kinatakiwa kiweze kugawanywa katika sehemu tatu sawia (absolutely equal parts). Cha ajabu hili haliwezekani, nini kinaendelea hapa? Yaan...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Za mida ndugu zangu, naomba nijitambulishe, kwa jina naitwa NBAA, nimekuja kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutoa elimu ya uhasibu kwa wale wanaofanya mitihani ya Board na wote wanaohitaji elimu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za humu wana jf? Naomba kufahamu websites ambazo naweza kusoma free online certificate of marketing courses. Naombeni msaada wenu maana nimebanwa na kazi nakosa mda wa kwenda chuo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuliza kati hawa watu nne nani chanzo cha elimu kushuka Tanzania, watu hao ni mwanafunzi mwalimu Mzazi na serikali na nini suluhisho lake?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeajiriwa serikalini mwaka 2013, mwaka 2014 niliweza kununua kiwanja chenye thamani ya milioni sita (hapa Dsm), na nikaanzisha ujenzi ambao ulinigharimu milioni kumi nne hadi kufika kwenye...
3 Reactions
74 Replies
9K Views
Kuna ndugu yangu anahamia Mwanza na anataka kumuhamishia mtoto wake wa form two shule ya serikali jijini mwanza, anahitaji kujua shule ambayo inafikika kirahisi toka road, isiyo mlimani na yenye...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mimi ni kijana miaka 21 mwaka wa kwanza chuo kikuu dodoma nachukua masomo ya sayansi ya jamii Siku zinazidi kusonga mpaka leo hii sijapata pesa ya matumizi wakati ulimwengu mzima unajua...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Zimebaki siku 16 kabla ya shule kufunguliwa,tunasikia tu kwenye vyombo vya habari majina yametoka lakini orodha hizi hazijabandikwa kwenye mbao za matangazo.Lini TAMISEMI na ELIMU watatuwekea...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tangu kuanzishwa kwa LAW SCHOOL OF TANZANIA mwaka 2008 kulikuwepo na utaratibu wa kutoa mkopo kwa wanafunzi wote wanaodahiliwa kusoma LAW SCHOOL OF TANZANIA, pesa hiyo imekua ikitoka Wizara ya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
JIPU LA BODI YA MIKOPO LIMEWASHINDA NINYI LAKINI NAWAHAKIKISHIA KUWA SISI WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TUTALITUMBUA NA KULIKAMUA WENYEWE. na SHITINDI VENANCE Hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
WanaJF, We have been to all sorts of schools and colleges, at each level, subjects or courses related to mathematics are often shunned by many of us except those few good in maths whom we often...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
Hellow peolple why Few parents or teachers are saying, "Go to school to learn to create good, high-paying jobs and not teaching them to become greater entrepreneurs
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niajeeee! Binafsi mie ni wa mwaka 2012/13 pale darasa ya Economics yenyewe.Najua humu wamo wanaSAUT wengi wa darasa tofauti na miaka tofauti karibuni tujadiliane,tushirikiane na tushauriane. Mimi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
japo watu wamefail sana wahusika cheki kwenye web yao
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom