God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
habari za jion wana jf. wakubwa shkamoo, wadogo mnisalimie na 20yrs na wale tunaolingana niaje.
mimi ni dent wa chuo kimoja hapa iringa sina aman nachukua bachelor ya mambo ya computer. sasa wasi wasi wangu ni kuajiriwa sababu na jua hii sayansi ya computer haina ajira but nakomaa kama vipi ntaenda kufundisha somo la computer pivate school ila naamini katika Mungu sababu kanitoa mbali sana. kuna vyuo kama udsm, sua na muhas vinasifika sana so naona ajira kwa graduates wa huko ni fasta tuu sasa wasiwasi wangu ni hivi vyuo vya private kama makumira, tumaini/iringa, rucu/ruco theofilo kisanji n.k ivi graduates wa hivi vyuo huwa wanapata ajira kweli au zle na kupiga magoti na rushwa za ngono. wanaheshimiwa kwel. wale maboss, waajiri na human resource manager naomben ushauri wenu na kwa faida ya wengine ahsanten sana.