Naitwa mwal Msofe. nipo mkoa wa Mara, Wilaya Musoma .nataka kubadilishana kituo cha kazi kwa aliye tayari..mimi niende kwenye Hii mikoa au wilaya . Arusha. Manyara. Kilimanjaro. Tanga. dar es salaam. nipo karibu na musoma mjini huduma zote zipo...usafiri..maji..umeme..m pesa..airtel money..tigo pesa... dstv..stationaries..tuwasiliane sasa..msofe 0767 900094...hili tangazo ni jipya..