Ajira mpya za walimu 2016.

kipusi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
443
75
Kama ww ni mwalimu wa muda mrefu na Tunaotarajiwa kuajiriwa mwaka ujao,Tunaomba Maoni, Ushauri, na Mtazamo wako ili tueze kuendane na kauli mbiu ya hapa kazi tu.
 
Usijali ajira utapata isipokua tu jiandae kwenda kijijini mkuu ila usijali kuna maisha baada ya ajira
 
Back
Top Bottom