Mabadiliko ya tarehe ya BTP Vyuo vya Ualimu

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,993
Reaction score
11,878
Serikali kupitia nacte ilitangaza tarehe ya kuanza kwa mafunzo kwa vitendo ktk vyuo vya ualimu ngazi ya diploma ambayo ilikuwa no tar 4/April lakini tarehe hiyo imesogezwa mbele zaidi kutokana na sababu ambazo hazijawekwa wazi.

Hali hii imefanya wanachuo kuwa na sintofahamu ukizingatia wengine wameshaanza kuripoti vyuoni kwa ajili ya zoezi hilo na mm nipo ktk gari natokea njombe npo kitonga napokea taarifa hiyo sasa hawa jamaa siwaelewi kabisa nishatumia gharama zangu daaaaah na itabidi nilale best mpaka tar18 jamani nyie serikali tuoni hurumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaqqqqqqwwwwwqwww
 
Taarfa zako umezitoa wapi mkuu?
 
Source:mkuu wa chuo nachingwea
 
Serikali kupitia nacte ilitangaza tarehe ya kuanza kwa mafunzo kwa vitendo ktk vyuo vya ualimu ngazi ya diploma ambayo ilikuwa no tar 4/April lakini tarehe hiyo imesogezwa mbele zaidi kutokana na sababu ambazo hazijawekwa wazi.

Hali hii imefanya wanachuo kuwa na sintofahamu ukizingatia wengine wameshaanza kuripoti vyuoni kwa ajili ya zoezi hilo na mm nipo ktk gari natokea njombe npo kitonga napokea taarifa hiyo sasa hawa jamaa siwaelewi kabisa nishatumia gharama zangu daaaaah na itabidi nilale best mpaka tar18 jamani nyie serikali tuoni hurumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaqqqqqqwwwwwqwww
Pole mkuu hii ndio Serikali yetu [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom