Kuahirisha masomo chuo mwaka wa kwanza

Bmm Money Motto

New Member
Mar 27, 2016
3
1
Hey guys,habari zenu?natumain mko poaa,ivi inakuaje kwa mfano ukimaliza form six na ukachaguliwa kwenda chuo lakini ukataka kuairisha uo mwaka ili uende mwaka mwingine i mean mwaka unaofuata,nahitaji kujua kuna process gani?na ishu za mikopo na vitu vingine itakuaje?
 
Kwa mfumo walioweka TCU kwa sasa utatakiwa uwe na barua kutoka chuo ulichochaguliwa ambayo inaeleza sababu za kwa nini hukuenda kuripoti. Barua hiyo utaendanayo TCU. Ingia wavuti ya TCU kuna mwongozo walitoa mwaka jana
 
Kama unataka ku-retain nafasi yako katika Chuo ulichochaguliwa, basi nenda kasajiliwe + kulipa ada hata ya semister moja then omba kuhairisha mwaka.
 
Back
Top Bottom