Peter Lemi
Member
- Mar 30, 2016
- 39
- 62
Naomba Kujua Wanao Apply Chuo Koz Za Afya Now Wanaenda Chuo Mwez Wa Ngap?
salam kwanza ndo muhimu.. !!!kuna wanaoenda mwezi wa NNE na wengine mwezi wa Tisa.....!!!!mwezi w NNE ni kwa baadhi ya vyuoNaomba Kujua Wanao Apply Chuo Koz Za Afya Now Wanaenda Chuo Mwez Wa Ngap?