Chuo kikuu Mzumbe kinazidi kusahaulika

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
Mnamo miaka ya 1970s chuo hiki kilianza kutambulika kama INSTITUTE OF DEVELOPMENT MANAGEMENT na baadaye kikaja kukabidhiwa kirungu kama chuo kikuu.ni chuo kinachotoa kozi za kipekee ambazo ni adimu kuzipata ktk chuo chochote nchi hii pia kimetoa baadhi ya watu mashuhuri ktk jamii kama
1.Samia Suluhu (Makamu wa Raisi)
2.Jaji Joseph sinde Warioba(waziri mkuu wa Zamani)
3.Anna Makinda (Spika wa bunge la awamu ya 4)
4.Pandu Ameir Kificho
5.Aden Rage (mwenyekiti wa klabu ya simba)
6.Nape Nnauye (Waziri wa habari na michezo
7.Dr.Emmanuel Nchimbi
8.Dr.Pindi Chama
9.msanii Bonta wa kundi la Weusi
10.Prof.Joseph kuzilwa aliyewahi kuwa mkurugenzi wa kitengo cha mifupa muhimbili (MOI)
11.Prof Joseph Kamuzora katibu mkuu wa nishati na Madini
12 Dr.Mary Nagu na mumewe
Na wengine wengi

Lakini chuo hiki kinazidi kusahaulika na kuwa underrated huku taifa likisahau mchango wake.hali ilivyo sasa kwa hiki chuo ni kama ifuatavyo
-uchakavu na upungufu wa majengo
-majipu ndo yamejaa huku na jipu kubwa lililoiva kabisa ni Vice Chancellor
-serikali kutokukishirikisha hiki chuo ktk masuala muhimu ya kitaifa huku ikisahau kuwa chuo hiki ni kitovu cha kutoa wataalamu wa masuala ya utawala na uongozi
-serikali kutokukipa kipaumbele na kukiachia kila mzigo kimalize chenyewe

Kwa hali hii chuo hiki kitazidi kudorora na kupunguza ufanisi kwa kadri uchao ikiwa serikali haitakitazama kwa jicho pevu
 
Kama mzumbe wanasubiri kutazamwa na serikali basi ujue hicho sio chuo kikuu. Kwa lugha ya mwingereza kitaitwa "glorified high school". Jaribu ku-google maana ya chuo kikuu, utanielewa.
 
warioba hajadoma mzumbe..warioba ni graduate wa udsm
 
Kama hicho chuo kimezalisha hao watu hususan namba moja mpaka nane basi hakuna namna na kifutwe tu...

Kinachangia kujaza graduates vilaza kama Dr.Nchim****
 
Mnamo miaka ya 1970s chuo hiki kilianza kutambulika kama INSTITUTE OF DEVELOPMENT MANAGEMENT na baadaye kikaja kukabidhiwa kirungu kama chuo kikuu.ni chuo kinachotoa kozi za kipekee ambazo ni adimu kuzipata ktk chuo chochote nchi hii pia kimetoa baadhi ya watu mashuhuri ktk jamii kama
1.Samia Suluhu (Makamu wa Raisi)
2.Jaji Joseph sinde Warioba(waziri mkuu wa Zamani)
3.Anna Makinda (Spika wa bunge la awamu ya 4)
4.Pandu Ameir Kificho
5.Aden Rage (mwenyekiti wa klabu ya simba)
6.Nape Nnauye (Waziri wa habari na michezo
7.Dr.Emmanuel Nchimbi
8.Dr.Pindi Chama
9.msanii Bonta wa kundi la Weusi
10.Prof.Joseph kuzilwa aliyewahi kuwa mkurugenzi wa kitengo cha mifupa muhimbili (MOI)
11.Prof Joseph Kamuzora katibu mkuu wa nishati na Madini
12 Dr.Mary Nagu na mumewe
Na wengine wengi

Lakini chuo hiki kinazidi kusahaulika na kuwa underrated huku taifa likisahau mchango wake.hali ilivyo sasa kwa hiki chuo ni kama ifuatavyo
-uchakavu na upungufu wa majengo
-majipu ndo yamejaa huku na jipu kubwa lililoiva kabisa ni Vice Chancellor
-serikali kutokukishirikisha hiki chuo ktk masuala muhimu ya kitaifa huku ikisahau kuwa chuo hiki ni kitovu cha kutoa wataalamu wa masuala ya utawala na uongozi
-serikali kutokukipa kipaumbele na kukiachia kila mzigo kimalize chenyewe

Kwa hali hii chuo hiki kitazidi kudorora na kupunguza ufanisi kwa kadri uchao ikiwa serikali haitakitazama kwa jicho pevu
Mleta mada nazan haujui maana ya chuo kikuu, tafadhal rudi ukasome
 
Back
Top Bottom