fbytel0000
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 106
- 74
Habari za asubuhi wana JF. Tafadhali naomba kujuzwa mchanganuo wa mshahara wa Mwalimu mwenye degree, ukiwa ni pamoja na makato na take-home.
Asante mkuuBasic ni 716000 take home ni 572000
Asante kwa taarifa. Naona umetumia April fool day kuwarusha roho walimu...afu ghafla thread yako siioni tenaTake home ni 518
Hawa CWT inasemekana ni kero sana, wanakata kiasi gani...514000 ukishakatwa na loni bodi na hapo bado CWT hawajachukua chao
Daaah sasa mwalimu wa diploma au wa cheti atalipwa bei gani? Kwa figure hizo ina maana Mkurugenzi wa NHC au NSSF mshahara wake unaweza kulipa walimu 70 wa sekondari kwa mwezi? maanina wacha Uncle magu awanyooshe tu.. hii inequality sio kabisaBasic ni 716000 take home ni 572000
1.B1=Basic 419000>Cwt=8390.Pension=20950.Income=46090.Insur 12570>Take home 331000Habari za asubuhi wana JF. Tafadhali naomba kujuzwa mchanganuo wa mshara wa Mwalimu mwenye degree, ukiwa ni pamoja na makato na take-home.
Asante kwa mchanganuo huo, hapo bado loan board hawajakata chao....1.B1=Basic 419000>Cwt=8390.Pension=20950.Income=46090.Insur 12570>Take home 331000
2.C1=530000>Cwt 10600.Pension 26500.Income 58300.Insurance 15900>Take home=418700
3.D1=716000>Cwt 14320.Pension 35800.Income 78760.Insurance 21400>Take home= 565640
4.E1=940000>Cwt 18800.Pension 47000.Income 103400.Insurance 28200>Take home 742600
5.F1=1235000>Cwt 24700.Pension 61750.Income 135850.Insurance 37050>Take home 975650
Degree anaanza na D1
1.B1=Basic 419000>Cwt=8390.Pension=20950.Income=46090.Insur 12570>Take home 331000

hii data sio za kweli mfano hapo kwenye D1 take home sio ya kweli na hata kwenye c1 take home sio ya kwel1.B1=Basic 419000>Cwt=8390.Pension=20950.Income=46090.Insur 12570>Take home 331000
2.C1=530000>Cwt 10600.Pension 26500.Income 58300.Insurance 15900>Take home=418700
3.D1=716000>Cwt 14320.Pension 35800.Income 78760.Insurance 21400>Take home= 565640
4.E1=940000>Cwt 18800.Pension 47000.Income 103400.Insurance 28200>Take home 742600
5.F1=1235000>Cwt 24700.Pension 61750.Income 135850.Insurance 37050>Take home 975650
Degree anaanza na D1
aiss siku hizi watu wanapiga mpunga sana...nilipoanza kazi yangu ya ualimu na ji-diploma langu nilikuwa nalipwa 73000!!1.B1=Basic 419000>Cwt=8390.Pension=20950.Income=46090.Insur 12570>Take home 331000
2.C1=530000>Cwt 10600.Pension 26500.Income 58300.Insurance 15900>Take home=418700
3.D1=716000>Cwt 14320.Pension 35800.Income 78760.Insurance 21400>Take home= 565640
4.E1=940000>Cwt 18800.Pension 47000.Income 103400.Insurance 28200>Take home 742600
5.F1=1235000>Cwt 24700.Pension 61750.Income 135850.Insurance 37050>Take home 975650
Degree anaanza na D1
Wwe sio mwalimu. Hizi data ni sawa sema kuns bodi loarn wanatoa 58000 na yale madeni ys mtaa kwa mtaa.hii data sio za kweli mfano hapo kwenye D1 take home sio ya kweli na hata kwenye c1 take home sio ya kwel
wengi wanachanganya na makato ya bodi
Wwe sio mwalimu. Hizi data ni sawa sema kuns bodi loarn wanatoa 58000 na yale madeni ys mtaa kwa mtaa.
Maisha ya ualimu si kitoto
Kama bumu langu tuBasic ni 716000 take home ni 572000
Boom lako ni miezi miwili...siku sitiniKama bumu langu tu