Open University inatambuliwa na TCU hivyo kimantiki hakuna sababu kwanini usiitwe kwenye usaili kama mtu wa chuo kingine.
Degree ziko sawa lakini hadhi za vyuo haziko sawa kwa hiyo baadhi ya waajiri wanaangalia hilo. Ni kama tu ambavyo bia ya holiday Inn inatofautiana bei na bia ya tandale kwa mama muuza.
Mmemshauri vyemaUkikidhi vigezo utaitwa. Hakuna anayesoma kwa kujifurahisha
Asante!Mmemshauri vyema