Natamani kwenda advance

G pastor

Member
Mar 23, 2016
5
0
Nimemaliza kdato cha NNE mwakajana nimefaulu kwa dvsion 3 cjabalance combi Nina c ya chem na c ya bio na c ya English zengne zote D naweza kwenda advance kweli kwa hivyo nisaidieni wana jf
 
Nenda ualimu au afya bado mnapenda advance mkifeli huko mnakuja humu kulia lia. Angalia career gan unaipenda hamishia nguvu huko hzo academic achana nazo. Advance ni extension ya olevel ukitoka huna unalolijua tofauti hata na mtu mwenye cheti cha computer anaajirika. We vp?
 
ACHA KUMTISHIA MWENZIO!

MUULIZE LENGO LAKE NI KUJA KUJIKITA KWENYE UBOBEZI UPI AKISHAHITIMU SEKONDARI YA JUU,
NDIPO UMSHAURI VIZURI.
 
Ahaa kama nichuo nilikuwa nataka niende secta ya afya si inawezekana
 
Nenda ualimu au afya bado mnapenda advance mkifeli huko mnakuja humu kulia lia. Angalia career gan unaipenda hamishia nguvu huko hzo academic achana nazo. Advance ni extension ya olevel ukitoka huna unalolijua tofauti hata na mtu mwenye cheti cha computer anaajirika. We vp?
Kama kakuelewa na akuelewe
 
Ulitakiwa ukazane kusoma ulipokuwa shule. Pole sana lakini.
 
Nenda ualimu au afya bado mnapenda advance mkifeli huko mnakuja humu kulia lia. Angalia career gan unaipenda hamishia nguvu huko hzo academic achana nazo. Advance ni extension ya olevel ukitoka huna unalolijua tofauti hata na mtu mwenye cheti cha computer anaajirika. We vp?

Ila we mkali
 
Nimemaliza kdato cha NNE mwakajana nimefaulu kwa dvsion 3 cjabalance combi Nina c ya chem na c ya bio na c ya English zengne zote D naweza kwenda advance kweli kwa hivyo nisaidieni wana jf
nakushauli uende diproma ya medicine utokee uko mi mwenyewe nlijichanganya kwenda advance kwa pcm nlipomalza nkajikuta akuna koz nayoweza kuichukua kwa pcm ikabidi nchukue degree ya ualimu lkn baada ya miaka mitatu kazini nataka ntumie olevel kuomba diproma ya afya ngejua mapema nsingezunguka advance
 
Diproma=diploma/astashahada
Akuna=hakuna
Nsingezunguka=nisingezunguka
Ngejua=ningejua
Kwa hisani ya FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom