Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habarini saa hii wadau, napenda kufahamishwa vyuo vya afya vinavyopokea ufaulu huo hapo juu. Course ziwe clinical medicine na pharmacy au course yoyote yenye opportunity kubwa ya kuajiriwa...
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Habar wanajamvi, hivi hawa wenye mitandao ya simu mbona siwaelewi leo nimeweka buku jero ili nijiunge university offer ya wiki nilichokutana nacho sikuamin. Kwa wiki 10 mb wakati zilikuwa 500mb...
1 Reactions
40 Replies
8K Views
Headteachers tell staff to use pink ink when they are marking because it is ‘less aggressive’ than red so children will not feel like a failure Teaching union said schools are imposing...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari kuna suala ningependa kujua kuhusu tutorial assistance kwa mf udsm huchukua watu wanakua tutors n then wanasomea masters hapohapo kwa sponsor ya chuo vp masters usipopata gpa ya 4.0...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nimeshafanya usajili nacte sasa wakati na apply diploma nkaingiza qualifications za ngazi ya cheti wakazikubali but wamedai ni upload scanned original in pdf not exceeding 2mb sasa apa si na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mwenye taarifa na chuo hiki kipya anijuze, kinaanza lini kupokea wanafunzi, kwani mwaka jana kilitangaza nafasi za wafanyakazi, ninaham sana kufungua chuo,kwani ninaamini nitaelimika sawasawa kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kujua vyuo vya ualimu ambavyo vipo free kiasi ktk kufundishwa chuoni na wanafunzi hawabanwi sana kuingia Class kwa ajili ya Attendance na mwanafunzi anaweza kuingia class sometime na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Madereva wengi sana wa cku hizi wanaendesha gari kama vile kucheza video games. Since udereva umerahisishwa. Ni kiasi cha kuweka D, then off you go. Lakini udereva is more than that. Kuna maujanja...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Msaada:Kwa wanaosoma au kuvifahamu Vyuo vya Ualimu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua shule zilizopo katika wilaya ya Muheza mjini hasa zilizo za government Thanks.
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Habari za Ijumaa kuu wana jamvi! Tafadhali naomba kujuzwa vyuo vya ualimu kwa ngazi ya cheti na stashahada vyenye unafuu kwenye ada vilivyopo kanda ya ziwa.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Ukiacha VETA ni wapi kuna driving school nzuri na nafuu? Kwa maeneo ya Kinondoni, Magomeni na Sinza. Kuna dogo kamaliza form 4 japo akajifunze kwa mwez mmoja.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau hapa tokea juzi nangojea mshahara hauingii tu lkn matawi mengine ya CRDB tofauti na sengerema wao wamepata salary zao lkn kwetu mpaka sasa nikitendawili ushauri jamani je naruhusiwa kuhama A/C
0 Reactions
4 Replies
1K Views
0763471955
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Kwa anayejua shule ya sekondari white lake naomba aniambie mahali ilipo na details zake
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Inaanza april. Mwisho wa kuapplu kupitia NACTE ni 30 march. Royona College; Umri Mdogo Elimu Kubwa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
BEST TANZANIAN UNIVERSITIES 2015: Latest Rankings 23 February 2015. A list of best universities has just gotten out and the result is something removed from the old ones we have seen before...
5 Reactions
174 Replies
41K Views
habar wana jf. Jamaan kwa wanaojua naomba kuuliza eti mwisho wa kujisajili kwa ajili ya kurisit mtihan wa fom 4 ni lini?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
mwalimu uliyopo singida mjini kama unahitaji kuja Bukoba mjini, idara ya sekondari nicheki tufanye mambo faster. 0758185413
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na ile taarifa ya nacte kuhusu udahili wa pamoja kwa mwaka wa masomo 2016/2017 vyuo mbalimbali,, kwa kutumia mfumo wa kufanya maombi online,, (CAS) kumekuwa kuna maswali mengi sana kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom