Mimi mwl wa physics na mathematics, natafuta nafasi

Ilambo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
475
88
Mimi mwalimu wa Physics na Mathematics na nina diploma ya education.

Natafuta nafasi ya kufundisha hasa katika mkoa wa Dar katika shule za private.

Kama kuna mtu yeyote ana taarifa ktk shule fulani kuwa wana uhitaji naomba aniPM au ujumbe kwenye simu 0767874060/0784024004
 
Mi mwl wa phy na math nina diploma ya ed natafuta nafasi ya kkufundisha hasa ktk mkoa wa dar,ktk shule za private,km kuna mtu yeyote ana taarifa ktk shule flan kuwa wanauhitaji naomba anipm 0767874060/0784024004
NENDA MOJA KWA MOJA KWENYE SHULE HUSIKA,
FIZIKIA NA HESABU UNAPATA KAZI FASTA.
 
Kuna shule ipo Mbeya wanahitaji mwalimu wa masomo yako,wana ku accommodate nyumba,na chakula cha mchana,kama upo tayari njoo Pm nikuunganishe.
 
Natafuta nafasi ya kufundisha phy na math ni mwalimu by proffessional nina diploma, napendelea mkoa wa Dar, anaejua shule yenye uhitaji tusaidiane kupitia 0767874060.
 
NIpo vizur coz ndo masomo yangu,tupeane basi michongo plseee
 
Professional siyo Proffessional, all in all kwa masomo yako unafursa kubwa ya kupata. Jaribu Mwanza pia
 
Natafuta nafasi ya kufundisha phy na math ni mwalimu by proffessional nina diploma, napendelea mkoa wa Dar, anaejua shule yenye uhitaji tusaidiane kupitia 0767874060.
Unataka kuwa mwanaume wa dar
 
Mimi mwalimu wa Physics na Mathematics na nina diploma ya education.

Natafuta nafasi ya kufundisha hasa katika mkoa wa Dar katika shule za private.

Kama kuna mtu yeyote ana taarifa ktk shule fulani kuwa wana uhitaji naomba aniPM au ujumbe kwenye simu 0767874060/0784024004

Mburani sec walikua wanahitaji sana pale embu nenda mtafute academic nimesahau jina lake
 
I am qualified and experienced for two years chemistry & Biology teacher n I'm looking for teaching post particularly Moro.(bachelor holder.)
 
I am qualified and experienced for two years chemistry & Biology teacher n I'm looking for teaching post particularly Moro.(bachelor holder.)
Natafuta nafasi ya kufundisha phy na math ni mwalimu by proffessional nina diploma, napendelea mkoa wa Dar, anaejua shule yenye uhitaji tusaidiane kupitia 0767874060.
=================
Jaffery Academy
Application Deadline: 14 Apr 2016
IGCSE BIOLOGY TEACHER-O LEVEL POSITION DESCRIPTION:
Source Dailynews 1st April 2014
JAFFERY ACADEMY ARUSHA
CAMBRIDGE INTERNATIONAL SCHOOL
ARUSHA

TEACHING VACANCY
Jaffery Academy invites Applications from qualified teachers for GCE ‘A’ LEVEL and IGCSE 'O’level.
GCE 'A' LEVEL

Source: The Guardian 1st April, 2016

For 'A' Levels Postgraduate teachers with the following qualifications are required
1. M.Sc., Mathematics
2. M.Sc., Physics
3. M.Sc., Chemistry
4. M.Sc., Biology
A degree in Education or 5 years teaching experience will be preferred.
IGCSE 'O' LEVEL:
For 'O' levels trained Graduate Teachers / Graduate Teacher with a minimum of 5 years' experience are preferred in the following subjects:
1. Mathematics
2. Physics
3. Chemistry
4. Biology
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Attractive Remuneration Packages will be offered to the right candidate.
The last date for receiving the application is 14th April, 2016. Interested candidates are directed to mail their CURRICULUM VITAE to the following email , admin@jafferyaca.org or rmk_2@hotmail.com

P.O. BOX 3031,
Arusha, Tanzania
Tel: (
call_skype_logo.png
+255272549088)

Source:
IGCSE Biology Teacher-O level Job in Arusha, Tanzania
 
Back
Top Bottom