Kwa hali inayoendelea UDSM tutamkumbuka Al - Shaabab | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hali inayoendelea UDSM tutamkumbuka Al - Shaabab

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Leonard Robert, Mar 12, 2012.

 1. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  Hakika kijana huyu aliweza kusimama imara kupigania maslai ya wanaUDSM bila woga, tena aliweza kusimama mbele ya jengo la utawala na kupaza sauti hadi mh.mkandara akaja kusikiliza kilio chetu...
  Lakini viongozi hawakupendezwa na hoja zake,harakati zake na jitiada zoote za kuwatetea wanaUDSM...wakamuondoa...hakafukuzwa chuo...
  Sasa hivi mambo yanaenda hovyo bila wa kuyakemea..bei za chakura zimepanda lakini ubora wa chakura unapungua..na watu wote kimya kama hawaoni...wameanza kutucheleweshea boom hisivyo kawaida...najua wakati wa field tutaenda huko bila pesa..na tutakaa kimya!
  Kwa ujumla hakuna tena mtu wa kusimama rev square na utawala na kupaza sauti..
  Tunakukumbuka Al-shabaab..
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  Utawala wameshagundua tumekua waoga.kazi tunayo..
   
 3. m

  mob JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,028
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  wewew mleta mada vaa viatu vyake mkuu.hakuna mtu amezaliwa kumpigania mwenzake ila wewe unaweza kusimama ukaitetea nafsi yako
   
 4. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chukua hilo jukumu wewe.
   
 5. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  The man who stands alone for what he believes to be true is a real man although there is price to pay.
  At the same time kumbuka, huwezi kudai haki ya watu wote wewe binafsi, aidha tjitoe kuwa mbuzi wa sherehe. Nadhani, that AL SHABAAB has paid his price kilichobaki ni nyie kuangalia kipi cha muhimu, nadhani pigeni shule kiugumu tu mmalize hali ya hapo ni toka muda mrefu.
  Wengi wamepita kwa shida hivyohivyo, hakuna haja ya kugombana.
   
 6. Kayla

  Kayla JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ukombozi wa mwafrica uliletwa na waafrica wenyewe na ukombozi wa mwanachuo utaletwa na wanachuo wenyewe...acheni uwoga hakuna atakaekuja kuwatetea zaidi yenu wenyewe..Amkeni!!
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  ndicho kilichobaki mkuu
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  lakini kuna waliokua wanaongoza mapambano.
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  vipi kuhusu fukuzafukuza haitanikumbuka? Maana wamepania kuondo wasiowataka..
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  Nimeamini tulizoea kutetewa na kijana Al-shaab sasa tunaitaji kusimama kwa miguu yatu wenyewe..
   
 11. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mhh. Sikuizi nayo UDSM, au LUDISM. Tokeni hapo maana hata nikiwapa ushauri, nyie mafisi hamtoutii.
   
 12. B

  BUCHANA Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The strongest man in the world, is he who stands alone!
  Stand and do it yourself bro.
   
 13. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  tupe ushauri mkuu,wengine tu wasikivu..na haya ni maji ya shingo sasa..
   
 14. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  kuna changamoto ya fukuzafukuza mkuu.. Huyu mgaya ni hatari..nianzie wapi mkuu..ngoja nivute kasi kwanza..
   
 15. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona huyo AL SHABAB hakuogopa kufukuzwa!!
   
 16. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Tatizo la kumtegemea Mtu mmoja ndilo hilo.
  Katika mapambano yeyote TEAM work ndiyo SIRI kubwa.
  Pia siku zote mpambano ni lazima uwe na plan A,B na C

  A chain is a strong as its weakest link.

  CCM wanalijua sana hili ndiyo maana mara zote humwandama sana kiongozi wa mpambano hata kumzushia uongo wa kufa.
  Nia ya kumuandama kiongozi si kwamba wanamchukiaa kuliko wengine ila ni kwa sababu wanajua yeye ndiye strong link na wengine mliobaki ndo weakest.
  Wakisha ivunja strong link weakest link mara nyingi huanguka zenyewe kwa woga.

  Bend together and learn how to raise spirits and strength of each individual in the team.

  Watu wote wanyonge duniani wana nguvu nyingi za ajabu kiasi cha kuweza kufanikisha jambo lolote lile.
  Tatizo kubwa ni namna ya kutumia nguvu za wanyonge katika umoja wao na kwa faida yao wenyewe.

  Siku zote nguvu nyingi za wanyonge hutumiwa katika kuhakikisha kwamba wanyonge hawatumii nguvu zao katika kuleta mabadiliko ya kweli ya kuwaondoa katika unyonge wao, bali katika kuongeza mfarakano baina ya wanyonge.

  Ukitaka kummaliza mnyonge kiulaini unamtumia mnyonge mwenzake.

  If diamond is the hardest natural material on earth, that means it takes a diamond to shape a diamond.

  Ukiona Mapambano kati ya wanyonge na wenye nguvu yazidi kupamba moto jua jambo moja tu, wenye nguvu wameshindwa kuwapata wanyonge wa kupambana na wanyonge wenzao.

  Wale wapiga virungua FFU na Polisi wakivaa mashati ya Dukani ni CHOKA MBAYA ni wanyonge wa kutupwa.

  Ndiyo maana mmoja wa watu wenye Hekima katika karne hii anatambua nguvu kubwa walizo nazo wanyonge na jinsi ambavyo mnyonge yeyote hatakiwi kusahau kwamba nguvu za wanyonge ndiyo hatari yenyewe.

  This is a Quote from Nelson Mandela;
  "Our deepest fear is not that we are inadequate. Our deepest fear is that we are powerful beyond measure "

   
 17. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,859
  Likes Received: 1,299
  Trophy Points: 280
  Leornard umemwona alshaabab LU$AKO AKA EMEKA NA WENGINEO Vipi?
   
 18. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  ingalikuwa hivyo wakina nyerere,nkuruma, martin luther,karl marx, mandela,malcom x na wengine wengi wasingalifikisha watu wao hapo walipo kwani lazima utambue bila wachache(walio na karama hiyo) kujitoa kwa ajili ya wengi basi kusingekuwa na ukombozi wa chochote toka dunia ianze. acha kuwarudisha nyuma wenye moyo wa kuwapigania wengine.

  utawala wa chuo cha UDSM huwapenda huwapenda watu kama wewe kwa kutumia kauli yako ndio humaliza umoja ilipo kwa wanafunzi katika kutafuta haki zao. wanachuo, watanzania bila kujitoa muhanga na kutoogopa chochote tunaweza kubadili hali iliyopo ya kuoneana na tukaleta maendeleo,woga,usaliti,individualism ndio adui mkubwa wa mapinduzi na mageuzi na maendeleo.
   
 19. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  siwezi kuupuuza mchango wao wote..lakini Al-shabaab alifanya kazi kubwa kwa muda mfupi kuliko mtu yeyote akiwemo mwita..
   
 20. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  kwakweli umesema yoote,lazima wachache wenye karama waongoze wengine kwenye mapambano,maana kila mtu anamchango wake kwenye mapambano yoyote.. Sio kila mtu anaweza kuongoza..
   
Loading...