Wakuu wa kaya
Habari za siku nyingi, hakika wote mnaendelea vizuri na majukumu yenu.
Baada ya pilikapilika za kipindi kile cha kufuatilia selection zetu pale udsm majina yetu yalikua pending mpaka tukabadilishiwa vyuo.
Sasa vyuoni tulikuja utaratibu wa mkopo ukawa mgumu baadhi walipata na wengine ikaonekana taarifa zetu rasmi za kujiunga na vyuo heslb hawana. Basi tukatakiwa ku appeal huku tulipo lakini cha kushangaza mwaka wa kwanza umeisha hakuna jibu linaloeleweka. Sijui tatizo hasa ni nini?
Hebu kwa wale wenye angalau taarifa za matokeo ya walio appeal angalau atujuze watanzania vijana wenzie. Nitafurahi sana ndugu zangu.
Salam zangu kwa# mpambalachuma#msomso#marimari na wadau wengine ambao tulifightsana pale Nacte kipindi kile cha kufuatilia haki zetu.