Jamani kuna swali nililikuta kwenye past paper ya darasa la saba linauliza kwamba "umbo la duara lina mistari mingapi ya pacha"? Kila mwl nilie muuliza wa hesabu alinipa jibu tofauti na...
Nisaidieni jaman
Nataka wale wanaoishi kama malaika waishi kama shetani. Hii kauli sijaielewa serious!!
i. Kimantinki ina maana gani?
ii. Kimazingira context ana maanisha nni?
iii. Wale wa...
Tafadhali naomba kujua namna kujiunga na certificate in accountancy (how to make application) Institute of Accountancy Arusha unafanyaje. CAS NACTE naona haipo ceritificate kuna diploma za afya...
Habari zenu wakuu,
Uzi huu ni maalumu kwa wale ambao wanahitaji kwenda kusomea kozi ya clinical medicine tu.
Tutajuzana kuhusu mpangilio wa masomo,namna ya kupata GPA nzuri na mengine mengi...
Even as critics raise their voices on the high rate at which tertiary institutions are being upgraded into universities, a forum has come forth to defend the move.
The Inter-University Council...
WanaJamvi habari zenu,
Mimi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi tuliosoma AZABOY enzi hizo. Jamani nimepita pale jana kumsalimia mwalimu wangu mmoja jina kapuni, nimekuta shule ukiingia tu mlangoni...
Habari zenu wakuu? Tafadhali mi naomba kujuzwa majukumu na utendaji kazi wa community health workers.
Na kingine diploma yake IPO? Pia ajira zake zipoje, ukimaliza unaajiriwa moja kwa moja au...
Wanabodi,
Niko naangalia taarifa ya hbr hapa TBC, ukarabati wa mabweni ya shule ya secondary Iyunga mbeya yaliyoungua unaendelea kwa kasi. Wadau mbalimbali wamechangia kukamilisha ukarabati huo...
Habarini za jioni wakuu, mabibi na mabwana, natumai wote mu wazima baada ya kushereheka na sikukuu ya pasaka.
lengo kuu lilonisukuma kuandika swala hili ni ujuzi wa mambo ambao wanajukwaa...
Kwa wale wasomaji wa novel hasahasa "crime fictions" hayo majina hayatakua mageni kwenu,wote wawili ni marehemu kwa sasa
baadhi ya kazi za puzo ni 'the godfather','the dark arena'the sicilian etc...
Poleni na majukumu wakuu,
Naomba msaada juu ya hii shule ya Kanyigo Secondary School. Naomba nijue kuhusu vifuatavyo:
1. Vigezo vya kujiunga kidato cha 1
2. Ada sh ngapi? (Kwa boarding)
3...
Kati ya kozi hizo mbili ni ipi ukiajiriwa serikalini ina mshahara mkubwa kuliko nyingine?
Na je mshahara ni shilingi ngapi kwa zote Computer science na Procurement?
Habari zenu wana JF naomba nayefahamu anisaidie ni GPA ya ngapi inayohitaji ili mtu ajiunge na chuo kikuu.
Mtu kama amemaliza diploma ya elimu.
Asanteni.
WANAFUNZI wengi wamekuwa wakitumia vibaya muda wao baada ya masomo. Wengine kwa michezo isiyo na maana, kushinda vijiweni, kutazama televisheni kupitiliza au kuwa bize na mitandao ya kijamii...
Ndugu,nauliza kama Appl.form za UDSM 2015/2016 kwa ajili ya postgraduate studies nitazipata wapi maana ninaangalia kwenye website yao sioni,zaidi naona tangazo tu ila form sizioni......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.