Habari wadau,
Naomba ushauri wa cozi gani nzuri inayohusisha education na computer science na chuo gani kizuri kinachotoa cozi hizo.
Mimi ni mwaiimu lakini nataka kwenda kusoma computer ila kwa mujibu wa mkataba yatakiwa nisome cozi inayoendana na education yaani lazima iwe edu. nahitaji kusoma computer. msaada tafadhali!!!