UQF ni University Qualification Framework (inatolewa na TCU) na imegawa elimu za vyuo vikuu kwa madaraja. Degree za Kwanza (Bachelors) ziko UQF level 8 ili upate admission unatakiwa uwe na qualification ya UQF level 6 kama inavyo onyesha hapa chini.habari wanajamvi!nilikuwa na
check qualification za ba of education with IT udom ni kakuta hiyo kitu i.e UQf level6