Thinking about new carrier

yap2p

Member
May 16, 2016
8
7
Mimi ni kijana mwenye miaka 24,na namshukuru Mungu katika umri huu tayari am a degree holder nikibobea kwenye maswala ya kilimo hasa upande wa udongo na mazao (agronomy) fani niliosomea pale SUA baada ya kumaliza mchepuo wa PCB A level... lkn ninawish kusoma kitu kingine ambacho nafikiri nakipenda na ni medical laboratory, na mawazo yangu nisome diploma kwenye hiv vyuo vya serikali kama DIT,MUST au ATC, hivyo basi naomba ushauli wenu ..lkn pia naomba mwongozo je ninaweza pata nafas kwenye hivyo vyuo ,lkn pia mm nilikua loan beneficiary je loan hawatanisumbua. Degree nimemaliza 2015.. naomben ushauri pl
 
Daah kwanini ulisoma Agronomy wakati kumbe ulikua unataka haswa medical lab. mkuu? Hauoni kwamba muda na rasilimali deni (mkopo wa heslb) ungevitumia katika kusoma medical laby?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom