JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,751
- 2,749
Wasalaam wana JF.
Juzijuzi nilimsikia rais akitamka kuwa tunao wataalam wachache sana (takribani wa nne) nchi nzima wa maswala ya moyo. Ambapo alisema wawili wapo Muhimbili, mmoja Bugando na mwingine sikumbuki alisena yupo wapi. Naomba kufahamu ni wataalam wa fani gani nyingine ambao katika nchi yetu ni wachache sana kiasi kwamba wanaweza kuhesabika?