Habarini wanaJF.
Hivi kwa wale walio-apply diploma in nursing (in services) kwa ajili ya ku-upgrade mwezi April, kuna ambao walitumiwa email kuwa watume tena barua za udhibitisho wa kazini nk...
Why similar in classification but differs in marks btn the two.
SUA-MOROGORO
GRADE -POINT MARKS
A: 70 – 100% (4.4 – 5.0) = Excellent
B+: 65 – 69.9% (4.0 – 4.4) =Very Good
B: 60 – 64.9%...
Kuna vyuo vya ualimu vinatoa matangazo kuwa, iwapo mtahiniwa hana sifa za ufaulu kuingia stashahada (diploma) atasoma kozi fupi (bridging course) baada ya hapo atakuwa na sifa ya kuendelea na...
Jionee kizazi hiki kilivyofundishwa ufisadi toka vyuoni,Ajabu na kweli.....sipati picha wakiwa kazini hawa watu....
Yaani mwanafunzi unafoji malipo ya ada?
Hawa watu ilibidi wafutiwe vyeti ndio...
habari wana JF i hope ni wazima wa afya ninaswal ninataka kujua b'se kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua nimeona nikilileta hapa naweza pata majibu
hiv mwalimu aliyemaliza degree lakin...
'Life began to be hard when people began to complicate about it'.
Find a man in street, he has not eaten a lunch, ask him why he will tell you 'i have nothing, life is tough'.
The source of...
habari za majukumu wakuu?
kama title ya uzi inavyojieleza, mm ni mwalimu-mwanafunzi nasoma bed with math and IT. natafuta shule hususani shule ya binafsi iliyopo ndani ya wilaya ya ubungo kwa...
tangu ningali mdogo nimekuwa nikiyasikia nakuyatumia maneno haya hesabu' na 'hisabati' lakini naomba nikiri wazi kuwa hadi leo sijui tofauti yake na sijui kama nilikuwa nikiyatumia kwa...
Habari zenu wakuu naomba kujua website ambayo inaonesha faculty za kusomea chuo kikuu principle pamoja na amiunt tafadhali wakuu naomba tushirikiane kwa hili
Naomba mnijuze tafadhari, hivi katibu tawala mkoa anaweza azuie (asipeleke tamisemi)barua ya kibali cha mtumishi anaeomba kuhama tena kwa kubadilishana kwa sababu yoyote ile ikiwa taratibu zote...
habari za saa hizi waungwana najua huku nakutana na wasomi wengi nilikua naomba kujua kama kuna aliyesoma Malawi level yeyoye tuwasiliane kuna mambo mengi ningetaka tuongee na tushauriane pia ni...
Wakuu salamu
Naombeni kuuliza lini post zitatoka kwa mwenye tetesi anaweza tuambia pia je wanafunzi wataanza kufanya maandalizi lini na ningependa kujua process za uhamisho ukipangiwa shule hauko...
Naomba kujuzwa juu ya hili swala,
Je kuna taasisi yoyote yenye kudhamini wa shahada ya uzamili hapa Tanzania?
Kama wanaofisi zao mahali ama wana anwani yeyote inayo fahamika naomba msaada...
Habari zenu mimi ni mmoja kati ya wanafunzi waliochaguliwa jeshin nina tatizo la kuanguka ambalo halitambulik hospital je nikienda jeshin halafu ikanitokea watachukua hatua gan? Pia naweza...
Mimi mwalimu Mwenfua kalaghe wa Msingi,natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae aje Tabora Nzega mimi niende Mkoa mmojawapo kati ya Dar,Morogoro,Tanga au Mkoa wowote wa Pwani. 0788148501.
Wadau nina mdogo angu hapa anataka kuupgrade kutoka certificate ya nursing kwenda diploma kwa vyuo vya in service.
Week iliyopita alitumiwa email kuwa atume leseni ya tnmc na transcript sasa...
Hello parents and learners
We are trained teachers...we are hereby to advertise to you that we are capable of teaching on home visit basis.
●●●●●●●●●●●●●●●●●●●●●●●●●●●●
1.ENGLISH MEDIUM CLASS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.