Kwanza swala la kwenda jwtz halijawahi kuwapo since then.Wakuu humu ndani naimani kuna watu madhubuti wa kujibu hili suala la kwenda jwtz kwa form 6 lipo au halipo?na je vip kuhusu ukipata three huendi kuchukua degree chuo kikuu.naomba kuwasilisha
subirini msiwe na papara jkt mtaenda tuu kujifunza uzalendo, tena majina yatatangazwa soon kabla ya NECTA mtajua kambi zenu mlizopangiwa.. mjiandae kisaikolojia kwakweli...Wakuu humu ndani naimani kuna watu madhubuti wa kujibu hili suala la kwenda jwtz kwa form 6 lipo au halipo?na je vip kuhusu ukipata three huendi kuchukua degree chuo kikuu.naomba kuwasilisha
haya ndio majibu yanayotakiwa hapa jfsubirini msiwe na papara jkt mtaenda tuu kujifunza uzalendo, tena majina yatatangazwa soon kabla ya NECTA mtajua kambi zenu mlizopangiwa.. mjiandae kisaikolojia kwakweli...
kuhusu div3 kutopokelewa chuo kikuu ni tetesi tu ambazo hazijathibitishwa bado, lakin hata hivyo posibility yake ni ndogo sana kwa wakati tuliopo. pigeni kitabu madogo..
pamoja sana mkuu.. gonga like apo twende sawa..haya ndio majibu yanayotakiwa hapa jf
somen madgo ataa dvision 4 unapata chuoAcheni uzushi wa hiyo mambo ya division three